Kwa staili hii CHADEMA kimeisha

Kwa staili hii CHADEMA kimeisha

Mbona hamleti mambo mapya, kila kukicha nyimbo ni hizohizo tu... CHADEMA imekufa, imefufuka, imetawanyika, imezimia, haihemi, haipumui, taarifa za ndani, taarifa za chooni, taarifa za sebuleni, taarifa za jikoni... Lini mtaleta kipya?

da. unaitaji avira antivirus ubongo cjui km umesalimika
 
Hahahahahaha lol!!!! Hawana mtunzi wa nyimbo mpya inabidi wacheze zilipendwa kila wakati na kwa bahati mbaya kwao zilipendwa zao zimekosa mvuto. Mkuu Gwalihenzi umesahau na zile taarifa za kutoka katika tundu la choo cha uswazi lol!!!! 🙂🙂

Mbona hamleti mambo mapya, kila kukicha nyimbo ni hizohizo tu... CHADEMA imekufa, imefufuka, imetawanyika, imezimia, haihemi, haipumui, taarifa za ndani, taarifa za chooni, taarifa za sebuleni, taarifa za jikoni... Lini mtaleta kipya?
 
Last edited by a moderator:
Chadema walishajimaliza wenyewe siku nyingi wala hakuna kumtafuta mchawi.
 
dahhhh aseee mtoa post ahhh anyway wewe utakuwa mmoja wao kwa post hiii
 
1.Ukabila.

2.Udini.

3.Ukanda.

Na ubaguz wa waz waz ndan ya chama hiko umekiua moja kwa moja.

Pamoja na kwamba ccm imeshindwa moja kwa moja lakin chadema kimekosa qualifications za kuwa mbadala wake.

Kama Mnabisha tuombe uhai 2015.

Wanatunyanyasa sana sisi waislamu
 
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.

Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.

Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.

Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.

Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.

Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Shangaa na toho yako, katika hao wanaoitwa "wasaliti" hakuna wa kaskazini hata mmoja
 
KWI! KWI! KWIIII!!! NILIJUA NIKIKUUMBUA NI LAZIMA MIPOVU YA KIFAFA IKUFUmuke , safari hii hatutakuachia upenyo , shame on you !

unajua unatia aib. njo kwenye blog yang nikuongezee ufaham nazan uko kale group ka AKILI NDOGO
 
hii thread yenyewe ni uthibitisho wa jinsi kinavyo wanyima usingizi, haijawahi kutokea vita ya kimkakati ya kukimaliza chama cha upinzani kama hii ya cdm, pamoja na yote hayo bado kinasonga mbele na kitaishangaza ccm, na kama kweli mnaamini kinakufa basi acheni kurusha mashambulizi msubiri 2015 muone kazi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!! gamba mnalivua lini banaaa mbona unapindisha pindisha mambo!? Kuna wenye roho ngumu kama MACCM!? Mwenyekiti kazi imemshinda kishashinikizwa mara mbili kuwafuta kazi Mawaziri mizigo lakini utendaji bado umejaa madudu tu ya kila aina!!!! Lini mtamwambia kweli DHAIFU kwamba naye ni tatizo ili asepe kabla ya 2015? Oops!!!! Nilisahau mnaogopa minyukano itakayojiri ambayo itasababisha mmomonyoko mkubwa ndani ya chama chenu cha wahuni, mafisadi, wauza unga, majangili na magaidi.


Wenye roho ngumu Kama paka ndio kama Huyu. Kusoma hawajui na hata picha hawaoni.
 
Usiandike kitu kwa hisia fanya utafiti bhana unajizalilisha tofauti na ninavyokufahamu
 
Mzee mtei sikiliza yasemwayo chama kitavurugwa hebu malizeni tofauti zenu chadema ndio mbadala Wa ccm
 
unajua unatia aib. njo kwenye blog yang nikuongezee ufaham nazan uko kale group ka AKILI NDOGO

HIVI NIACHE WEBSITE yangu nije KUHANGAIKA NA KIBLOG CHA MASIKINI KAMA WEWE ILI IWEJE ? SAFARI HII TUTAWABANA KILA KONA !
 
Back
Top Bottom