assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #21
Wewe utakufa na utaicha CHADEMA ikiwa bado ni moto wa kuotea masafa marefu kwa Ma gamba na wasaliti wote.
mkuu umept dengue nn chadema ishapoteza droping rate 120km/h

zito.leticia.shivbuda.arfi.nasari huenda wakailiza chadema2015
Dua la Kuku....Keep on dreaming, CHADEMA is here to stay!!!
Kwi kwi kwi kwi kwi I told you before that you can do better that this, please try again. This is just too low 🙂🙂
CCM is there to win & to Lead not to stay as yours!
mkuu umept dengue nn chadema ishapoteza droping rate 120km/h
not end of game.sterling hafi kirahisihuu ujinga unaoandika umeshaandikwa hapa toka 2009,huyo zzk ameshajifia mwenyewe kama wasaliti wengine walivyokufa kibudu.Wasaliti wote lazima watimuliwe bila kujali wao ni kina naini cdm. Kama wapo hao unaodai wataondoka,kwa nini wasiondoke sasa? Na kwa nini hujiulizi sababu zinazomfanya kinara wao asiondoke aendelee kung'ang'ani cdm ni nini?
hey guy r u std7?cant u c the crack within
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
TIS @ work.

ur iq levek is proved by this comment. better stay mouth shutIn fact, you are a simple look-less person, you better look for another job to do...
mkuu umept dengue nn chadema ishapoteza droping rate 120km/h
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Mbona hamleti mambo mapya, kila kukicha nyimbo ni hizohizo tu... CHADEMA imekufa, imefufuka, imetawanyika, imezimia, haihemi, haipumui, taarifa za ndani, taarifa za chooni, taarifa za sebuleni, taarifa za jikoni... Lini mtaleta kipya?Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Unaimba nyimbo zilezile za kipuuzi kama zezeta vile!1.Ukabila.
2.Udini.
3.Ukanda.
Na ubaguz wa waz waz ndan ya chama hiko umekiua moja kwa moja.
Pamoja na kwamba ccm imeshindwa moja kwa moja lakin chadema kimekosa qualifications za kuwa mbadala wake.
Kama Mnabisha tuombe uhai 2015.
Dua la Kuku....Keep on dreaming, CHADEMA is here to stay!!!
UZURI WAKE NI KWAMBA kila MTU HUMU JF AMEKUJUA NA AMEKUDHARAU SANA !
Kwani kufa kwa CHADEMA wewe kikumacho nn!
Mbona easy tu no longer at easy