Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Tuamwona Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk Asha-Rose Migiro kwenye vyombo vya habari kila mara. Mara hii anaongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakiongozana huko Arusha kufungua mkutano wa Umoja wa Mawaziri wa Serikali za Mitaa wa Afrika Mashariki. Tungependa kujua wadhifa wake wa sasa katika medani za siasa hapa nchini.