Mkuu, hapo kwenye RED unanishitua, hii ndiyo ruswa ya aina gani?. Samahani sijawahi kuisikia katika maisha yangu.Umeandika ukweli sana Mkuu , ndiyo maana nilisema kama tutakuwa na Tume huru ya Uchaguzi , hata hiyo rushwa ya Kitanda kwa kitanda inaweza kukomeshwa .
Mzee Warioba hana jibu la hili na ndio maana mambo yenye utata tume yake wameyatupa kwenye mambo yasiyo ya Muungano, ili kama ni kuparurana basi waparurane wenyewe wakati yeye ameshamaliza kazi yake na ya kamati yake.Matola hapo ndipo tulikuwa tunatofautiana lakini mimi nimejibu kulingana na jibu alilolitoa Mzee Warioba.
Sasa hawa Waislamu wa bara nao wana matatizo au lao jambo kwa sababu kama zanzibar wana mahakama ya kadhi inayoendesha mambo yake kama wanavyopenda, kwa nini waislamu wa bara wang'ang'anie kuwa na mahakama ya kadhi tofauti naya Zanzibar.
Kung'ang'ania na hoja yao hii ni kutafuta marumbano na serikali yasiyo kuwa na maana. Kama watu wa UAMSHO wanakubaliana na mahakama ya kadhi huko zanzibar, kwa nini masheikh wa bara wasifanye kama Zanzibar?
May be, I'm missing a point!
You should have gone to specsavers, CCM chama cha weledi, kwa taarifa yako rasimu hii ni kuwakaanga Mi-Chadema kwa mafuta yao, Leo CCM imezaliwa upya na imeonyesha kukomaa kwake kisiasa.
Mzee Warioba hana jibu la hili na ndio maana mambo yenye utata tume yake wameyatupa kwenye mambo yasiyo ya Muungano, ili kama ni kuparurana basi waparurane wenyewe wakati yeye ameshamaliza kazi yake na ya kamati yake.
Kuhusu hili la Mahakama ya kadhi Waislamu kuradhimisha liingizwe kwenye katiba na igharamiwe na pesa za walipa kodi hapa CCM moja kwa moja inahusika kwa kuipanda mbegu hii ambayo hawakuyajuwa madhara yake.
Kanisa Katoliki nalo lina mahakama zake wanatumia Canon law lakini hakuna ulalamishi huu kwamba Canon law itambulike kikatiba wao wanaendesha mambo yao kimya kimya na ukienda kinyume kisa si ya kikatiba basi simple decision unatengwa na kanisa.
Hili la kuniuliza kwa nini Waislamu wa Tanganyika wanakuwa ni walalamishi wakati wa Zanzibar hawana tatizo na hilo labda tu nirudishe swali kwako ni nchi gani Muslim there happy in this world?

Mimi kama Mtanzania wa kawaida nimeridhika na hii rasimu japo bado hatujaipata yote infull, sintompa mwanasiasa yeyote nafasi ya kuniburuza katika mchakato huu.Point of correction: Siyo waislamu wote wenye hulka ya kulalamika.
Inawezekana ikawa ni kweli Mzee Warioba na tume yake wameamua kutokuingia kwenye marumbano ambayo yangechukua muda tena katika mchakato huu, hasa ikichukuliwa kama swala liko kwenye ilani ya uchaguzi wa chama kilichoko madarakani. wameamua Yangoswe kumwachie ngoswe mwenyewe.
Ingekuwa ni vizuri kama tungepata rasimu yote tukaisoma ili kupata picha kamili lakini vidokezo vinaashiria kwa ujumla rasimu ni nzuri.
Hahahah. Bujora, Kisesa, MwanzaNa wapagani wana mahakama yao ya matambiko na haitambuliwi na katiba.
Sasa mkuu mambo ya uchama yametokea wapi? Tume ina base nzuri sana ya utaifa zaidi. Achana na mambo ya uchama. Taifa kwanza mkuu.
Mimi kama Mtanzania wa kawaida nimeridhika na hii rasimu japo bado hatujaipata yote infull, sintompa mwanasiasa yeyote nafasi ya kuniburuza katika mchakato huu.
Tume imependekeza ushindi wa kura za urais upatikane kwa zaidi ya 50%. Nadhani hapa walikuwa wamelewa pombe!! Wameruhusu utitiri wa wagombea binafsi na hivi inawezekana wagombea wa urais wakawa hata 15 au zaidi kama ilivyokuwa Ethiopia. Huko tuendako inawezekana kabisa hiyo 50% haitapatikana kirahisi. Je isipopatikana uchaguzi urudiwe? Na isipopatikana kwa mara ya pili je?!!! Hapa wangepaswa kusema: Ushindi wa simple majority..