Kwa rasilimali tulizonazo tunahaki ya kuwahoji!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,225
56,888
Kwa upande wa Kimungu tunasema tumebarikiwa kwa upande mwengine tumenona nchi inarasilimali kila Kona,kwa vitu tulivyonavyo ni aibu kutuletea vichwa vya mitumba!.

Kwa staili hii lazima tuwashike mashati na lazima tuhisi tunanyonywa tu!.

Ifike hatua muone aibu viongozi wetu,nashangaa usomi wenu unapotupeleka.

Next election jambo lifanyike wamezidi hawa!.
 
Kwa upande wa Kimungu tunasema tumebarikiwa,kwa upande mwengine tumenona nchi inarasilimali kila Kona,kwa vitu tulivyonavyo ni aibu kutuletea vichwa vya mitumba!.

Kwa staili hii lazima tuwashike mashati na lazima tuhisi tunanyonywa tu!.
Ifike hatua muone aibu viongozi wetu,nashangaa usomi wenu unapotupeleka.

Next election jambo lifanyike wamezidi hawa!.
Tanzania imejaa wanafiki sana Ndugu yangu
 
Kwa upande wa Kimungu tunasema tumebarikiwa kwa upande mwengine tumenona nchi inarasilimali kila Kona,kwa vitu tulivyonavyo ni aibu kutuletea vichwa vya mitumba!.

Kwa staili hii lazima tuwashike mashati na lazima tuhisi tunanyonywa tu!.

Ifike hatua muone aibu viongozi wetu,nashangaa usomi wenu unapotupeleka.

Next election jambo lifanyike wamezidi hawa!.
,nashangaa usomi wenu unapotupeleka.

Next election jambo lifanyike wamezidi hawa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom