Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

You surely need primary physics lessons!
-Kwako wewe usiku na mchana ni matokeo ya nini?
-Kama hakuna proof ya umbali wa jua (nahisi wewe ni mzembe wa kusoma na kufuatilia science) umejuaje kama umbali wa jua kutoka dunia na mwezi kutoka dunia ni sawa?
-Unamaanisha nini kusema kwamba picha za dunia hakuna iliyo kweli? Unaelewa kwamba kuna watu wanaishi kwwenye internationa space station na kuna live streaming ambazo hata wewe unaweza kufungua sasa hivi na kushuhudia picha ya dunia yako?
-Katika zama hizi ambazo gravitational waves zinakuwa observed ndani ya maabara wewe unayebishia hata uwepo wa gravity unaweza ukatuambia kwa nini ukirusha jiwe juu linarudi chini?
-Unamaanisha nini kwamba hakuna proof ya sattelites? Proof gani unayoitaka wewe?
-Ulishawahi kusafiri kwa meli bahari kuu?

It look like uko against Science in general, una namna mbadala ya kuusoma ulimwengu? Tufahamishe tafadhali
Laaaah!!!
 
Mimi sio muumini wa ubaguzi,kuna wazungu wenye ubinaadamu wapo wengi tu,ila kuna waotaka kuplay god hao ndio tatizo,na wanatulenga sisi waafrika kwanza katika mipango yao ya kupunguza watu duniani. why africans?mbona nchi za Asia hazilengwi sana ,ni wakati wa kujitambua.
Tatizo ni rangi yetu nyeusi na tuna ardhi yenye kila kitu na huku kuwa wahanga ujinga tukaendekeza vitu visivyo na maana
 
Survival for the fittest, binafsi huwa sioni kwamba ni ubaguzi badala yake naona wazungu wanajipenda na wanajijari ndo maana wanakumbatia culture zao, wanapigania mataifa yao na wanaiba kwetu wanapeleka kwao(huo ni upendo baina yao), kitu ambacho sisi hatuna.

Bilogically mwanadamu kaumbwa kumpenda ndugu yake(katika hali ya kawaida) sasa sisi kama hatupendani kiasi kwamba tunauza nchi zetu kwao hilo ni tatizo letu siyo lao, wao wana fight for their lives.

Nchi za asia wanazilenga sana pia ingawa siyo kama huku kwetu, mfano magonjwa mengi yako Africa na asia kuanzia AIDS na Malaria ambayo nafikiri ndo inaua kuliko ugonjwa wowote duniani.
Ni kweli lakini inchi za Asia wametuzidi kwa technorogy ni inchi chache zinazotegemea misaada kwa sababu ya vita ndio zina kuwa wahanga wa matatizo ya kimagharibi
 
Hawawezi jua hilo,hapa tuandikapo kuwa musuada upo una hang kwa kisubir timing tu ipo siku itapitishwa tu. Ni nani miongon mwetu aliwahi kusikia kitu MAPUTO PROTOCAL ABORTION?

Utalia ukisoma ulaghahi uliopo pale ni wakiangamizi sana ni kuangamiza kizazi chetu kijacho.

Ajenda hii ipo tu hata hapa kwetu mwanzo uliletwa tukaupinga wakt ukiandaliwa kupelekwa bungeni.

Kosa la agenda km hizi ni nchi fulani kuzipokea na kuzileta mezani,yaan ile kupokea tu ni tayari ile roho ya uharibifu ni lazima siku moja itende kazi hata km ni miaka mingapi.
Mkuu nadhani ni wakati muafaka wa kuanzisha mada jadidi ili tusaidie serikali yetu na afrika kwa ujumla nafahamu michango yako hapa jukwaani inakuwa moto
Hebu anzisha mada na tuwatag wengine ili tusaie serikali
Na tunaweza tafta namna ya kuwashirikisha hata wanasiasa ili tupate nguvu ya kufanya uchunguzi ktk vitu tulivyo navyo kutoka ng'ambo kujua ukubwa wa athari zake
 
You surely need primary physics lessons!
-Kwako wewe usiku na mchana ni matokeo ya nini?
-Kama hakuna proof ya umbali wa jua (nahisi wewe ni mzembe wa kusoma na kufuatilia science) umejuaje kama umbali wa jua kutoka dunia na mwezi kutoka dunia ni sawa?
-Unamaanisha nini kusema kwamba picha za dunia hakuna iliyo kweli? Unaelewa kwamba kuna watu wanaishi kwwenye internationa space station na kuna live streaming ambazo hata wewe unaweza kufungua sasa hivi na kushuhudia picha ya dunia yako?
-Katika zama hizi ambazo gravitational waves zinakuwa observed ndani ya maabara wewe unayebishia hata uwepo wa gravity unaweza ukatuambia kwa nini ukirusha jiwe juu linarudi chini?
-Unamaanisha nini kwamba hakuna proof ya sattelites? Proof gani unayoitaka wewe?
-Ulishawahi kusafiri kwa meli bahari kuu?

It look like uko against Science in general, una namna mbadala ya kuusoma ulimwengu? Tufahamishe tafadhali
Mkuu huyu Zenjbar ni janga la dunia usipoteze mda wako bure
 
Tatizo ni rangi yetu nyeusi na tuna ardhi yenye kila kitu na huku kuwa wahanga ujinga tukaendekeza vitu visivyo na maana
Nadhani haya mambo hayataki mihemko,wala jazba,japo kuwa yanauma, ni swala la kujiandaa kimkakati zaidi kuwashawishi viongozi waliopo madarakani.na kuiangalia mipango ya uzazi wa mpango kwa jicho la tatu.
 
Wenzetu yaliwakuta,sisi tuwe macho,mikakati yao imebadilika ila lengo ni lilelile.
 
Swali zuri, hapa kuna nguvu mbili kuu zinazoshindana,moja ni Dark energy ambayo inafanya ulimwengu upanuke kwa kasi ya mwanga na nyingine ni Gravity ambayo inavuta ulimwengu,sasa kama galaxy ziko karibu nguvu ya gravity katika galaxy mbili husika zitavutana na hatimae zitaishinda dark energy.
View attachment 633521
Mkuu hiyo dark energy kwenye anga la dunia yetu au solor system imo?
Vilevile kuna uzi mmoja tulielezwa kuhusu kufa kwa baadhi ya nyota na kuna nyota tunategemea siku moja tuone supernova ikitokea. Naomba kujua uhusiano uliopo kati ya kufa kwa nyota na kuungana kwa hizi galaxies
 
Napenda kuuliza swali jingine katika theory ya dunia duara. Kama dunia ni duara, ina maana kutoka nchi za mashariki ya mbali kama Japani, China nk kuelekea nchi zilizo magharibi mfano Amerika, nilitegemea mtu kutoka Japani kwenda USA asiwe na haja ya kukatiza katikati ya dunia yaani Ulaya, Africa na Mashariki ya kati, ningetegemea wangeelekea mashariki zaidi mpaka kuikuta USA kwa sababu dunia ni duara.
Naomba maelezo ya kina hapo
 
Mkuu hiyo dark energy kwenye anga la dunia yetu au solor system i
Ndio, dark energy ndio energy/matter yenye kiwango kikubwa katika universe.solar system yetu iko ndani ya universe.
 
Vilevile kuna uzi mmoja tulielezwa kuhusu kufa kwa baadhi ya nyota na kuna nyota tunategemea siku moja tuone supernova ikitokea.
Iko siku eidha sisi au watoto wetu, kumbuka huko nyuma mwaka 1604 supernova ilishuhudiwa na mg'ao wake ulikuwa unaonekana mchana kweupe tukio lingine lilikuwa 1054 wakati nyota iliyoacha mabaki ya crab nebula ilipolipuka,astronomers wanahisi nyota ya betelguese huenda ikawa katika mchakato wa kulipuka au imeshalipuka siku nyingi.
 
Ni kweli lakini inchi za Asia wametuzidi kwa technorogy ni inchi chache zinazotegemea misaada kwa sababu ya vita ndio zina kuwa wahanga wa matatizo ya kimagharibi
Tunachonganishwa halafu wanakuja kujifanya wanatusuluhisha.kuna ukweli kuwa asia wameendelea kitech kutuliko tunaweza tukashirikiana na kupeana mbinu na nchi rafiki kama china.
 
Nadhani haya mambo hayataki mihemko,wala jazba,japo kuwa yanauma, ni swala la kujiandaa kimkakati zaidi kuwashawishi viongozi waliopo madarakani.na kuiangalia mipango ya uzazi wa mpango kwa jicho la tatu.
Muda hauna kuludi nyuma mikakati inapaswa kuanza mapema pasina shaka tukimtanguliza Mungu tutashinda
 
Tunachonganishwa halafu wanakuja kujifanya wanatusuluhisha.kuna ukweli kuwa asia wameendelea kitech kutuliko tunaweza tukashirikiana na kupeana mbinu na nchi rafiki kama china.
Tufikiri jinsi tunavyoweza kuwa na mikakati endelevu kulisaidia taifa na Afrika kwa ujumla kupambana na hali hii
 
Back
Top Bottom