Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
😂 😂 😂 😂 😂 😂Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si utaweka kapeti kabisa?
Sijapata swali lako vizuri. Unamaanisha wanaweka protector nyingi sana na maCover mengi? Au wanaweka kama wengine wa samsung, nokia wanavyoweka ? Au wanaweka mara kwa mara?Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa.
Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha.
Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si utaweka kapeti kabisa?
Point ya mleta mada ni kwamba; Kwanini wamiliki wa Tecno na Infinix wanaweka simu Protector na cover wakati simu zao ni za bei che, hata zikiharibika wanaweza kununua nyingine. Kwa maoni yake protector na cover zinafaa simu ghali Kama Samsung na iPhone 11 proSijapata swali lako vizuri. Unamaanisha wanaweka protector nyingi sana na maCover mengi? Au wanaweka kama wengine wa samsung, nokia wanavyoweka ? Au wanaweka mara kwa mara?
Mimi nimeona simu kubwa tu za flagship zinawekwa protector na cover, na hata ukiingia madukani almost cover na protectors za simu zote zinauzwa that means zinanunulika
Sent using Jamii Forums mobile app
Point ya mleta mada ni kwamba; Kwanini wamiliki wa Tecno na Infinix wanaweka simu Protector na cover wakati simu zao ni za bei che, hata zikiharibika wanaweza kununua nyingine. Kwa maoni yake protector na cover zinafaa simu ghali Kama Samsung Galaxy S7 edge, au iPhone 11 pro
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Aliyeshiba hamtambui mwenye njaaumenifurahisha aisee. Yaani ajue tu kwamba anayenunua simu ya tecno ya 150,000/ ni amejitutumua karibu mwaka mzima na hiyo ndio simu ya gharama kwake kama vile tajiri anavyonunua Galaxy S20 leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela ya kununua covers na protector ni ya kwao
Kwa hiyo fanya yako
Samsung A20vipi? Ni tecno au infinix?
《Caprichar o teu sorriso》
Acha kujinyanyua ndugu Kwa madharau,jamaa zako wanaokuzunguka wana kazi!Binafsi naamini mwanamke anapenda kuweka screen protector na cover kuliko mwanaume.
Nikikuta simu ina cover na protector subconsciously naassume hiyo simu ni ya mwanamke.
Sasa hapo mi dharau zangu ziko wapi?Acha kujinyanyua ndugu Kwa madharau,jamaa zako wanaokuzunguka wana kazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini hakumaanisha hivyo ila kama alimaanisha hivyo basi kabla ya kuwaza na kuandika hili alikuwa keshapigwa kimoja yuko mapumzikoPoint ya mleta mada ni kwamba; Kwanini wamiliki wa Tecno na Infinix wanaweka simu Protector na cover wakati simu zao ni za bei che, hata zikiharibika wanaweza kununua nyingine. Kwa maoni yake protector na cover zinafaa simu ghali Kama Samsung na iPhone 11 pro
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Unasemaje ukiona tu Simu ina body cover na screen protection unajua hiyo Simu ni ya mwanamke!!? Kwa mtazamo wako mwanaume hapaswi kuilinda Simu yake?Sasa hapo mi dharau zangu ziko wapi?