Kwa nini watumiaji wengi wa Tecno na Infinix wanapenda kujaza screen protectors kwenye simu zao?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,902
Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa.

Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha.

Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si utaweka kapeti kabisa?
 
Sijaelewa point yako..
Wanaweka protector na cover zaidi zaidi ya moja? (kitu ambacho sijaona) au
Ndio hawapaswi kuweka kabisa kwa mtazamo wako?

Nahisi labda ungezungumzia aina ya Cover. Ni wachache sana wanatumia simu bila protector. Bila cover inawezekana hasa kutokana na brand ambayo bila cover ndio inaleta muonekano mzuri.

Lakini yote ni maamuzi ya Mmiliki,
Simu ni yake, utunzaji ni juu yake, na ikimharibikia ni juu yake pia, kwaio yote juu ya simu yake ni kheri.
 
Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa.

Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha.

Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si utaweka kapeti kabisa?
Sijapata swali lako vizuri. Unamaanisha wanaweka protector nyingi sana na maCover mengi? Au wanaweka kama wengine wa samsung, nokia wanavyoweka ? Au wanaweka mara kwa mara?

Mimi nimeona simu kubwa tu za flagship zinawekwa protector na cover, na hata ukiingia madukani almost cover na protectors za simu zote zinauzwa that means zinanunulika
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Point ya mleta mada ni kwamba; Kwanini wamiliki wa Tecno na Infinix wanaweka simu Protector na cover wakati simu zao ni za bei che, hata zikiharibika wanaweza kununua nyingine. Kwa maoni yake protector na cover zinafaa simu ghali Kama Samsung na iPhone 11 pro

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Point ya mleta mada ni kwamba; Kwanini wamiliki wa Tecno na Infinix wanaweka simu Protector na cover wakati simu zao ni za bei che, hata zikiharibika wanaweza kununua nyingine. Kwa maoni yake protector na cover zinafaa simu ghali Kama Samsung Galaxy S7 edge, au iPhone 11 pro

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
umenifurahisha aisee. Yaani ajue tu kwamba anayenunua simu ya tecno ya 150,000/ ni amejitutumua karibu mwaka mzima na hiyo ndio simu ya gharama kwake kama vile tajiri anavyonunua Galaxy S20 leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point ya mleta mada ni kwamba; Kwanini wamiliki wa Tecno na Infinix wanaweka simu Protector na cover wakati simu zao ni za bei che, hata zikiharibika wanaweza kununua nyingine. Kwa maoni yake protector na cover zinafaa simu ghali Kama Samsung na iPhone 11 pro

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Naamini hakumaanisha hivyo ila kama alimaanisha hivyo basi kabla ya kuwaza na kuandika hili alikuwa keshapigwa kimoja yuko mapumziko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh..... Ni sawa na kuuliza kwa nini uvae ndom kwenye uzinzi..... Au utumie chandarua eneo lenye m'mbu. Usipothamini kidogo ulicho nacho, huwezi kuthamini kikubwa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom