Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,975
- 63,988
Mh sa mi kosa langu hapo lipo wapi? Ailinde mi sina shida naye ila nikiikuta hiyo simu sehemu, labda mezani na yeye hayupo, wazo langu la kwanza ni kwamba hii simu ni ya mwanamke.Unasemaje ukiona tu Simu ina body cover na screen protection unajua hiyo Simu ni ya mwanamke!!? Kwa mtazamo wako mwanaume hapaswi kuilinda Simu yake?
Sent using Jamii Forums mobile app