Kwa nini waswahili tunajidharau?

Kwa nini waswahili tunajidharau?

Yes..no sometimes togather....you know what .....because.....see tommorow
 
ati "miafrika ndivyo tulivyo" !!!!!
 
Nilichoandika mmenielewa? Kwa nini usipotimiza ahadi unaambiwa una ahadi za kiswahili? Mzungu gani,mhindi gani au mwarabu gani alijiita jina lake mwanasukary au chaupele au masawe?
Waswahili wangapi tunajiita john,charles,juniour na beatrice? Sasa kama si kujidharau nini?
Tian na heaven on earth mmenielewa?

Bonge the one ni jina la kiswahili! hongera mkuu kwa kutuonyesha mfano wa kujikubali, hakika wastahili pongeza kutoka kwa mwaride !
 
Last edited by a moderator:
hii mada nayo imekaa "kiswahili swahili sana" kwan nan anajidharau mkuu?
Salaaaaaam wote,tuelimishane kwa nini iko hivyo? Ntanua mifano michache
majina yetu mengi tumeiga nje.
Mtu asipotimiza ahadi anaambiwa acha ahadi za kiswahili kua na ahadi za kizungu.
Mitaa tuliojazana wengi inaitwa uswahilini na ya wenye fedha inaitwa mzunguni.
Mswahili na mzungu mkifukuzia msichana wa kiswahili wewe mswahili hupati wakati wewe na mzungu mkifukuzia demu wa kizungu jua mzungu lazima ampe papuch mzungu mwenzie,lakini cha ajabu wale nzi wakubwa wachafu hawaitwi nzi wa kizungu.
Sasa kwa nini tunajudharau? Kuhusu majina yetu hapa jukwaani na kuchanganya lugha ndo usiseme tena.hivi ubongo wetu una tatizo gani?
 
kwanza, nikwambie kwamba, waswahili wana sifa zao unique..

mbali na kuwa mtu yeyote anaetumia kiswahili ni mswahili, kuna sifa nyingine chafu zimejificha..

1. mswahili anachukuliwa kama mtu muongo.

2. mswahili ni mtu asiyeenda na muda, yeye akimabiwa njoo saa nne, yeye anaongeza masaa yake mawili mbele! uswahili huo!

3. mswahili haaminiki kwa ahadi anazotoa. mtu wa fix sana!

huo ndio uswahili swahili unaozungumziwa!

kwa reference zaidi, pitia hapa!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/234436-sifa-za-mswahili-msaada-jamani.html

naruhusu kukosolewa!
 
Salaaaaaam wote,tuelimishane kwa nini iko hivyo? Ntanua mifano michache
majina yetu mengi tumeiga nje.
Mtu asipotimiza ahadi anaambiwa acha ahadi za kiswahili kua na ahadi za kizungu.
Mitaa tuliojazana wengi inaitwa uswahilini na ya wenye fedha inaitwa mzunguni.
Mswahili na mzungu mkifukuzia msichana wa kiswahili wewe mswahili hupati wakati wewe na mzungu mkifukuzia demu wa kizungu jua mzungu lazima ampe papuch mzungu mwenzie,lakini cha ajabu wale nzi wakubwa wachafu hawaitwi nzi wa kizungu.
Sasa kwa nini tunajudharau? Kuhusu majina yetu hapa jukwaani na kuchanganya lugha ndo usiseme tena.hivi ubongo wetu una tatizo gani?

hata sisi enzi tunacheza football ukipiga mpira kwa kisigino[madoido fulani] tulikuwa tunasema umepiga 'kizungu'....
 
Mswahili ni mtu duni,..hajidharau bali ndio ukweli huo.
 
hahahaaa ungeonyesha msisitizo kama ungetumia ID ya TUKUNYEMA MOJA BADALA YA BONGE THE ONE ....haha mtazamo tuu
 
Duh unachekesha maana hata sina la zaidi la kukuambia kwa jinsi ulivyochemsha.
 
Nadhani ndiyo tulivyo tu hatuwezi badilika. Tuna kama ka-inferiority complex fulani hivi ambako tunarithishana vizazi na vizazi
 
Salaaaaaam wote,tuelimishane kwa nini iko hivyo? Ntanua mifano michache
majina yetu mengi tumeiga nje.
Mtu asipotimiza ahadi anaambiwa acha ahadi za kiswahili kua na ahadi za kizungu.
Mitaa tuliojazana wengi inaitwa uswahilini na ya wenye fedha inaitwa mzunguni.
Mswahili na mzungu mkifukuzia msichana wa kiswahili wewe mswahili hupati wakati wewe na mzungu mkifukuzia demu wa kizungu jua mzungu lazima ampe papuch mzungu mwenzie,lakini cha ajabu wale nzi wakubwa wachafu hawaitwi nzi wa kizungu.
Sasa kwa nini tunajudharau? Kuhusu majina yetu hapa jukwaani na kuchanganya lugha ndo usiseme tena.hivi ubongo wetu una tatizo gani?

Hayo mambo mabaya huwatunafanyiana wenyewe na huwa hatujui wenzetu kama nao hufanyiana. Pia kitu cha ajabu ni kitu si cha kawaida kwetu hivyo kinaweza kikawa kinatoka kwa wenzetu Wazangu.
 
Salaaaaaam wote,tuelimishane kwa nini iko hivyo? Ntanua mifano michache
majina yetu mengi tumeiga nje.
Mtu asipotimiza ahadi anaambiwa acha ahadi za kiswahili kua na ahadi za kizungu.
Mitaa tuliojazana wengi inaitwa uswahilini na ya wenye fedha inaitwa mzunguni.
Mswahili na mzungu mkifukuzia msichana wa kiswahili wewe mswahili hupati wakati wewe na mzungu mkifukuzia demu wa kizungu jua mzungu lazima ampe papuch mzungu mwenzie,lakini cha ajabu wale nzi wakubwa wachafu hawaitwi nzi wa kizungu.
Sasa kwa nini tunajudharau? Kuhusu majina yetu hapa jukwaani na kuchanganya lugha ndo usiseme tena.hivi ubongo wetu una tatizo gani?

kwahiyo unataka mtu asipokuwa anatiza ahadi aambiwe kuwa ana mambo ya kizungu, na akiwa anatimiza ndo mswahili?
na sehemu ya uzunguni iitwe uswahilini na uswahilini iitwe uzunguni? au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom