Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Imeandikwa kuwa hata kile kipindi cha Nuhu wanyama karibu wote waliokolewa, je ni kwa nini??
wanyama wana akili na utashi mkubwa sana kuliko hata binadamu
wanayama wanawoga na utii kwa muumba wao kuliko hata binadamu
wanayama wanaheshimu na kufuata wanayoambiwa mfano unafuga mbwa ukimwambia fanya kitu fulani atafanya na ukimkataza atakiacha wala hatakuja kukifanya hata siku moja
Tatizo la binadamu hata anapokatazwa atalazimisha tu ajaribu aone kuna nini
Ndio maana Eva/Hawa pamoja na kukatazwa bado walisndwa kutiii
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?
Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje??? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
 
HABARI ZENU WANAJAMVI,

HILI SUALA NALIANDIKA HAPA LKN NAFAHAMU KWAMBA NITATUKANWA SANA HASA NA WALE WOTE AMBAO WAMESHABOBEA KATIKA HILI TENDO CHAFU LISILO LA KIMAADILI. HATAHIVYO, NAAMINI PIA KWAMBA WAPO WALE AMBAO KWAO UKWELI UNASIMAMA SIKU ZOTE NA KUJALI UTU WAO NA WA WENZAO, HIVYO WAO WATAWEZA KUJADILI JAMBO HILI KWA NAMNA YA KUSAIDIA JAMII ILI WAONDOKANE NA HUU UFEDHULI NA UCHAFU UNAOZIDI KUSHAMIRI KILA SIKU KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA. NDUGU ZANGU NIPO TAYARI KWA USHIRIKIANO NA MATUSI LKN NI LAZIMA TUFIKIE KIPINDI TUKEMEE YALE MAMBO YANAYOHARIBU JAMII YETU. Maswali yangu ninayauliza katika makundi tofautitofauti ya jamii kwa wale wote wanaojihusisha na huu ufedhuli na uchafu.

a. Serikali na Watendaji wake.
Ni muda mrefu sana tumekuwa tukilaumu Ohoo Serikali yetu imeshindwa ufanisi katika mambo mbalimbali na lawama zote tumekuwa tukielekeza kwa watendaji wa Serikali bila kujali ni kwa namna gani hata sisi wananchi tunawajibika katika harakati za kuiletea nchi maendeleo, kwa kila mtu kuwajibika katika nafasi yake. Hivi, tumewahi hata kuchukua nafasi na kufikiri ni kwa namna gani nasi tunachangia serikali yetu kushindwa kufanikisha mipango yake? Hivi hizi laana tunazoziletea nchi yetu kwa kufanya huu ufedhuli na uchafu wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile tunauchukuliaje? Hivi nchi iliyolaaniwa itaweza kufanikiwa katika mambo yake ya kimaendeleo? Hivi unaweza ukatofautisha huu ushenzi unaofanywa sasa hivi kwenye jamii yetu na dhambi za Sodoma na Gomora?

Je, kwa wale waumini wa Dini mbalimbali mnasemaje katika hili? kwamba Mungu anaweza kubariki watu na Serikali yao lkn watu hao hao wanajihusisha na laana mbaya sana ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile? Hakika tusilaumu Serikali sana kama tunavyofanya sasa, japo ni kweli Serikali inatakiwa kuwa na mipango mizuri lkn hii yote haiwezi kufanikiwa katika jamii ambayo watu wake wanafikiria kufanya mapenzi kinyume na maumbile (sehemu maalumu kwa ajili ya kupitishia MAVI, wao sasa imekuwa sehemu ya starehe kwao).

b. Dinii. Ukristo, Uislamu, Wabudha, Wayahudi, Wahindu, n.k
Swali Kwenu nyinyi Wakristo/ Waislamu/ Wayahudi/ Wabudha/ Wahindu/ n.k; Wake kwa Waume, Vijana na watoto mnaojihusisha na huu uchafu naomba niwaulize swali kwamba; Hivi huwa mnajisikiaje mnapokuwa kwenye IBADA zenu za kila siku au kila wiki na huku unajielewa fika kwamba unajihusisha na mapenzi kunyume cha maumbile? Hivi hisia na nafsi yako inakuambiaje kuhusu huu uchafu anaojiusisha nao? unajisikia tu vizuri kwamba una amani na utabarikiwa wkt unajielewa kwamba either kwenye ndoa yako au nje ya ndoa au na girl friend wako/boy friend wako mnashiriki kufanya huu uchafu? Hivi ni sehemu gani katika Maandiko Mataatifu yanayohalalisha huu uchafu? Je, Mungu unayemwamini hajakuruhusu wewe Mwanamme kufanya mapenzi kwa kutumia Uume wako kwenye Uke wa Mwanamke? ni wapi huyo Mungu unayemwamini na kumwomba amekuruhusu ufanye mapenzi kupitia kwenye sehemu aliyokupa Mungu kwa ajili ya haja kubwa?

Je na wewe mwanamke/msichana mwenye Imani, je ni wapi umepata huo ujasiri na uhalali wa kufanya na kushiriki huu uchafu na bado unajifanya kuwa muumini mzuri? Hivi mnajisikiaje pale maombi au swala inapofanywa na Mchungaji/ Padri/Askofu/Sheik, nk na wewe unashiriki huu uchafu? Hivi OLE iliyotolewa katika Vitabu Vitakatifu kuhusu WAFIRAJI NA WAFIRWA hata hamuiogopi?iii. Dini ya AsiliHivi hata wale ambao wanaamini katika Dini za Asili, je kwa Imani zenu mnaruhusiwa kufanya huu ******? je nafsi zenu zinawasuta au mnajisikia vizuri tu kwamba na wewe unashiriki huu uchafu? Je, ni kwanini tunataka laana kizazi cha leo? Hivi hatuwezi hata kujifunza kutoka kwa Mababu zetu? hivi maadili yamekwenda wapi?

C. Makundi ya watu katika Jamii yetu1. Mwanaume aliyeko kwenye ndoa + Mke wake wa ndoa
-Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na mke wako, je huwa unajisikiaje unapotembea au unapokuwa katika shughuli zako za kila siku ziwe za binafsi au za kuajiriwa? hivi inapotokea wewe ni bosi ktk ofisi fulani lkn unajihusisha na huu uchafu kwa mkeo je wewe unajisikiaje nafsi yako? je waona kwamba uko salama kwamba unamfira Mkeo mkikutana naye? Haijalishi nani alikuwa wa kwanza kumuanzisha mwenzie lkn suala hapa ni kwamba, je unajisikiaje unapokuwa unashiriki huu uchafu? Je, unapomuona mkeo anakupa hiyo sehemu ya haja kubwa, nafsi yako iko salama tu? je, unamwambia mkeo akate kiuno? Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtamu? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje mkeo? kwamba umefurahi kutumia sehemu ya haja kubwa na hata aibu hauoni? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

2. Mwanaume aliyeko kwenye ndoa + Nyumba ndogo (Msichana ambaye hajaolewa)
Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na msichana ambaye hajaolewa, je unajisikiaje unapokuwa unajihusisha na huu uchafu na unapofanya naye tendo hilo huku mkeo nyumbani umemwacha? Ni kwanini wewe baba unatumia nafasi yako kumdhalilisha huyu msichana? Je, ni kwanini unamzoeza huu uchafu binti wa watu? kwako unaona ni salama? Je, umewahi kuchukua muda na kufikiria kwamba malipo ni hapa hapa Duniani? kwamba huo uchafu unaomfanyia binti ya watu nawe kuna watu watamfanyia mwanao? Je, umewahi kuwaza unavyomdhalilisha huyo Binti/Msichana kwamba hata mwanao wa kumzaa naye akifanywa hivyo (kuingiziwa Uume sehemu ya haja kubwa) utajisikiaje? Je, utajisikiaje, unapomuona msichana wa watu ****** yanatepeta kwasababu ya huo uchafu unaomfanyia sehemu ya haja kubwa? Je, unapata ujasiri wa kumwambia kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

3. Mwanaume mwenye ndoa + Mke wa mtu mwingine; Mke wa Mtu + Kijana ambaye hajaoa bado
Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na mke wa mtu mwingine, je huwa unajisikiaje unapofanya huu uchafu na mke wa mtu mwinigine? Je, umewahi kuwaza kwamba kuhusu uwezekano wa mtu mwingine kufanya huo uchafu na mkeo pia? au na mwanao?Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtaalamu wa mapenzi kwasababu amekupa sehemu yake ya haja kubwa? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje huyo mke wa mtu mwingine/jamaa yako? kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni?

Hivi na wewe mama mke wa mtu, unajisikiaje pale unapojihusisha na huu uchafu na mme wa mtu mwingine? unaona ni bora tu unampa mwanaume sehemu yako ya haja kubwa ili aweze kutumia na ukitoka hapo unajisikia una amani? Hivi ni kwanini wewe mama unajidhalilisha hivi? Je, hauthamini kabisa hicho kiungo na kuzingatia kazi yake ya kutolea uchafu? Hivi utaweza kupata ujasiri kweli hata wa kumkanya mwanao wk wewe mwenyewe unashiriki huo Usodoma na Ugomora? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

4. Kijana wa kiume (Bachelor) + Msichana ambaye hajaolewa ( Girl Friend wako au wale ambao mmekutana tu kwa kipindi kifupi).
Nina swali kwako wewe kijana wa Kiume na Kike ambaye unashiriki huu uchafu na aidha GF au BF wako, je huwa unajisikiaje unapokuwa unajihusisha na huu uchafu kwa mwenzio? je wewe unajisikiaje nafsi yako? je waona kwamba uko salama kwamba unamfira Mpenzi/mchumba/GF/BF wako? Haijalishi nani alikuwa wa kwanza kumuanzisha mwenzie lkn suala hapa ni kwamba, je unajisikiaje unapokuwa unashiriki huu uchafu? Je, unapomuona mwenzio anakuomba au anakupa hiyo sehemu ya haja kubwa, nafsi yako iko salama tu? je, unamwambia mwenzio akate kiuno? Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtamu? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje mwenzio? kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni?

Hivi na wewe Msichana, Uke si unao? Je ni kwanini unampa mwanaume sehemu yako ya haja kubwa? nani kakudanganya kwamba ndiyo upendo? then, unajisikia salama tu mwenye furaha kwamba umefirwa? AIBU KUBWA KAMA HII HATA HUWEZI KUSIMAMA NA KUCHUKUA HATUA? Kwanini kujidhalilisha wewe dada? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

NB: Soma kwa makini na uelewe ndipo utoe comment zako hasa sehemu inayokugusa. Pia MOD naomba hii thread isihamishiwe kwenye Jukwaa lolote, kwani hapa MMU ndiyo kuna watu wengi sana na Jamii yetu inaelekea kubaya, hivyo ni jukumu langu, wewe, yule na yeye katika kusaidiana katika kushauriana. Mwenye ufahamu na akili atafikiri na kuyafanyia kazi na yeye atakuwa amesaidiwa katika hili janga kubwa linaloharibu vijna wetu siku hizi.
 
Subiri utakavyopondwa...watakwambia mbona hata nchi zilizoendelea wanafanya hayo mambo kwa sana.Jiandae kwa hoja la sivyo utagombana na watu,ukizidiwa nitarudi kukusaidia!!

Ahsante sana na ukumbuke kurudi ili unisaidie katika hili. Nafahamu hilo na wacha wanitukane sana tu lkn naamini watakuwepo wale wenye kuweza kuona hili tatizo na kuungana nami katika kulikemea hili. Pia naamini, kwamba wapo wale watakaoweza kuchukua hatua. Lakini nitafurahi sana kutukanwa hasa na yule atakayekuwa umesome kile kilichoandikwa na kuelewa. Lkn nitahuzunishwa sana na yule atakayenitukana bila kusoma na kuelewa kile kilichoandikwa.
 
haya neeeext
tatizo usikute mwandishi nae katoka kufanya usodoma huo na viroba vyake vikamtuma aandike sredi hii.
Subiri majibu kiongozi
 
haya neeeext
tatizo usikute mwandishi nae katoka kufanya usodoma huo na viroba vyake vikamtuma aandike sredi hii.
Subiri majibu kiongozi

Ahsante. Ndugu yangu mimi siyo mnafiki, hivyo siwezi kuleta kitu ninachoshiriki. Na ukijaribu kufiuatilia thread yangu humu utagundua hata aina ya thread ninazochangia zina mwelekeo gani. Hivyo shaka ondoa kabisa, kwani nafsi yangu iko huru kwasababu siwezi kushiriki tendo hilo na badala yake naumia sana kila ninapoona vijana wengi sana katika jamii yetu wanashabikia huo uchafu.
 
HABARI ZENU WANAJAMVI,HILI SUALA NALIANDIKA HAPA LKN NAFAHAMU KWAMBA NITATUKANWA SANA HASA NA WALE WOTE AMBAO WAMESHABOBEA KATIKA HILI TENDO CHAFU LISILO LA KIMAADILI. HATAHIVYO, NAAMINI PIA KWAMBA WAPO WALE AMBAO KWAO UKWELI UNASIMAMA SIKU ZOTE NA KUJALI UTU WAO NA WA WENZAO, HIVYO WAO WATAWEZA KUJADILI JAMBO HILI KWA NAMNA YA KUSAIDIA JAMII ILI WAONDOKANE NA HUU UFEDHULI NA UCHAFU UNAOZIDI KUSHAMIRI KILA SIKU KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA. NDUGU ZANGU NIPO TAYARI KWA USHIRIKIANO NA MATUSI LKN NI LAZIMA TUFIKIE KIPINDI TUKEMEE YALE MAMBO YANAYOHARIBU JAMII YETU. Maswali yangu ninayauliza katika makundi tofautitofauti ya jamii kwa wale wote wanaojihusisha na huu ufedhuli na uchafu.a. Serikali na Watendaji wake.Ni muda mrefu sana tumekuwa tukilaumu Ohoo Serikali yetu imeshindwa ufanisi katika mambo mbalimbali na lawama zote tumekuwa tukielekeza kwa watendaji wa Serikali bila kujali ni kwa namna gani hata sisi wananchi tunawajibika katika harakati za kuiletea nchi maendeleo, kwa kila mtu kuwajibika katika nafasi yake. Hivi, tumewahi hata kuchukua nafasi na kufikiri ni kwa namna gani nasi tunachangia serikali yetu kushindwa kufanikisha mipango yake? Hivi hizi laana tunazoziletea nchi yetu kwa kufanya huu ufedhuli na uchafu wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile tunauchukuliaje? Hivi nchi iliyolaaniwa itaweza kufanikiwa katika mambo yake ya kimaendeleo? Hivi unaweza ukatofautisha huu ushenzi unaofanywa sasa hivi kwenye jamii yetu na dhambi za Sodoma na Gomora? Je, kwa wale waumini wa Dini mbalimbali mnasemaje katika hili? kwamba Mungu anaweza kubariki watu na Serikali yao lkn watu hao hao wanajihusisha na laana mbaya sana ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile? Hakika tusilaumu Serikali sana kama tunavyofanya sasa, japo ni kweli Serikali inatakiwa kuwa na mipango mizuri lkn hii yote haiwezi kufanikiwa katika jamii ambayo watu wake wanafikiria kufanya mapenzi kinyume na maumbile (sehemu maalumu kwa ajili ya kupitishia MAVI, wao sasa imekuwa sehemu ya starehe kwao).b. Dinii. Ukristo, Uislamu, Wabudha, Wayahudi, Wahindu, n.kSwali Kwenu nyinyi Wakristo/ Waislamu/ Wayahudi/ Wabudha/ Wahindu/ n.k; Wake kwa Waume, Vijana na watoto mnaojihusisha na huu uchafu naomba niwaulize swali kwamba; Hivi huwa mnajisikiaje mnapokuwa kwenye IBADA zenu za kila siku au kila wiki na huku unajielewa fika kwamba unajihusisha na mapenzi kunyume cha maumbile? Hivi hisia na nafsi yako inakuambiaje kuhusu huu uchafu anaojiusisha nao? unajisikia tu vizuri kwamba una amani na utabarikiwa wkt unajielewa kwamba either kwenye ndoa yako au nje ya ndoa au na girl friend wako/boy friend wako mnashiriki kufanya huu uchafu? Hivi ni sehemu gani katika Maandiko Mataatifu yanayohalalisha huu uchafu? Je, Mungu unayemwamini hajakuruhusu wewe Mwanamme kufanya mapenzi kwa kutumia Uume wako kwenye Uke wa Mwanamke? ni wapi huyo Mungu unayemwamini na kumwomba amekuruhusu ufanye mapenzi kupitia kwenye sehemu aliyokupa Mungu kwa ajili ya haja kubwa? Je na wewe mwanamke/msichana mwenye Imani, je ni wapi umepata huo ujasiri na uhalali wa kufanya na kushiriki huu uchafu na bado unajifanya kuwa muumini mzuri? Hivi mnajisikiaje pale maombi au swala inapofanywa na Mchungaji/ Padri/Askofu/Sheik, nk na wewe unashiriki huu uchafu? Hivi OLE iliyotolewa katika Vitabu Vitakatifu kuhusu WAFIRAJI NA WAFIRWA hata hamuiogopi?iii. Dini ya AsiliHivi hata wale ambao wanaamini katika Dini za Asili, je kwa Imani zenu mnaruhusiwa kufanya huu ******? je nafsi zenu zinawasuta au mnajisikia vizuri tu kwamba na wewe unashiriki huu uchafu? Je, ni kwanini tunataka laana kizazi cha leo? Hivi hatuwezi hata kujifunza kutoka kwa Mababu zetu? hivi maadili yamekwenda wapi?C. Makundi ya watu katika Jamii yetu1. Mwanaume aliyeko kwenye ndoa + Mke wake wa ndoa-Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na mke wako, je huwa unajisikiaje unapotembea au unapokuwa katika shughuli zako za kila siku ziwe za binafsi au za kuajiriwa? hivi inapotokea wewe ni bosi ktk ofisi fulani lkn unajihusisha na huu uchafu kwa mkeo je wewe unajisikiaje nafsi yako? je waona kwamba uko salama kwamba unamfira Mkeo mkikutana naye? Haijalishi nani alikuwa wa kwanza kumuanzisha mwenzie lkn suala hapa ni kwamba, je unajisikiaje unapokuwa unashiriki huu uchafu? Je, unapomuona mkeo anakupa hiyo sehemu ya haja kubwa, nafsi yako iko salama tu? je, unamwambia mkeo akate kiuno? Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtamu? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje mkeo? kwamba umefurahi kutumia sehemu ya haja kubwa na hata aibu hauoni? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI? 2. Mwanaume aliyeko kwenye ndoa + Nyumba ndogo (Msichana ambaye hajaolewa)Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na msichana ambaye hajaolewa, je unajisikiaje unapokuwa unajihusisha na huu uchafu na unapofanya naye tendo hilo huku mkeo nyumbani umemwacha? Ni kwanini wewe baba unatumia nafasi yako kumdhalilisha huyu msichana? Je, ni kwanini unamzoeza huu uchafu binti wa watu? kwako unaona ni salama? Je, umewahi kuchukua muda na kufikiria kwamba malipo ni hapa hapa Duniani? kwamba huo uchafu unaomfanyia binti ya watu nawe kuna watu watamfanyia mwanao? Je, umewahi kuwaza unavyomdhalilisha huyo Binti/Msichana kwamba hata mwanao wa kumzaa naye akifanywa hivyo (kuingiziwa Uume sehemu ya haja kubwa) utajisikiaje? Je, utajisikiaje, unapomuona msichana wa watu ****** yanatepeta kwasababu ya huo uchafu unaomfanyia sehemu ya haja kubwa? Je, unapata ujasiri wa kumwambia kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI? 3. Mwanaume mwenye ndoa + Mke wa mtu mwingine; Mke wa Mtu + Kijana ambaye hajaoa badoNina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na mke wa mtu mwingine, je huwa unajisikiaje unapofanya huu uchafu na mke wa mtu mwinigine? Je, umewahi kuwaza kwamba kuhusu uwezekano wa mtu mwingine kufanya huo uchafu na mkeo pia? au na mwanao?Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtaalamu wa mapenzi kwasababu amekupa sehemu yake ya haja kubwa? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje huyo mke wa mtu mwingine/jamaa yako? kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni?Hivi na wewe mama mke wa mtu, unajisikiaje pale unapojihusisha na huu uchafu na mme wa mtu mwingine? unaona ni bora tu unampa mwanaume sehemu yako ya haja kubwa ili aweze kutumia na ukitoka hapo unajisikia una amani? Hivi ni kwanini wewe mama unajidhalilisha hivi? Je, hauthamini kabisa hicho kiungo na kuzingatia kazi yake ya kutolea uchafu? Hivi utaweza kupata ujasiri kweli hata wa kumkanya mwanao wk wewe mwenyewe unashiriki huo Usodoma na Ugomora? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI? 4. Kijana wa kiume (Bachelor) + Msichana ambaye hajaolewa ( Girl Friend wako au wale ambao mmekutana tu kwa kipindi kifupi).Nina swali kwako wewe kijana wa Kiume na Kike ambaye unashiriki huu uchafu na aidha GF au BF wako, je huwa unajisikiaje unapokuwa unajihusisha na huu uchafu kwa mwenzio? je wewe unajisikiaje nafsi yako? je waona kwamba uko salama kwamba unamfira Mpenzi/mchumba/GF/BF wako? Haijalishi nani alikuwa wa kwanza kumuanzisha mwenzie lkn suala hapa ni kwamba, je unajisikiaje unapokuwa unashiriki huu uchafu? Je, unapomuona mwenzio anakuomba au anakupa hiyo sehemu ya haja kubwa, nafsi yako iko salama tu? je, unamwambia mwenzio akate kiuno? Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtamu? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje mwenzio? kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni? Hivi na wewe Msichana, Uke si unao? Je ni kwanini unmpa mwanaume sehemu yako ya haja kubwa? nani kakudanganya kwamba ndiyo upendo? then, unajisikia salama tu mwenye furaha kwamba umefirwa? AIBU KUBWA KAMA HII HATA HUWEZI KUSIMAMA NA KUCHUKUA HATUA? Kwanini kujidhalilisha wewe dada? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI? NB: Soma kwa makini na uelewe ndipo utoe comment zako hasa sehemu inayokugusa. Pia MOD naomba hii thread isihamishiwe kwenye Jukwaa lolote, kwani hapa MMU ndiyo kuna watu wengi sana na Jamii yetu inaelekea kubaya, hivyo ni jukumu langu, wewe, yule na yeye katika kusaidiana katika kushauriana. Mwenye ufahamu na akili atafikiri na kuyafanyia kazi na yeye atakuwa amesaidiwa katika hili janga kubwa linaloharibu vijna wetu siku hizi.

Ukweli mtupu. Hongera kwa kutusemea sisi wengine katika jamii.
 
Telo, katika liturgia ya misa katoliki wakati wa kubadili mkate kuwa mwili wa Yesu,Padre huwa anatamka hivi:...Ee Baba usiangalie matendo yetu bali imani ya Kanisa lako Takatifu.....'je unaelewa Kanisa linamaanisha nini hapa? Tafakari,jipime na uone wewe ni msafi kiasi gani kabla hujatoa hukumu nzito kama ulivyofanya kwenye thread yako hii.
Nahitimisha kwa kukupa ushauri wa bure:
Waislam wanasema ....'swali kabla hujaswaliwa...'
Telo.weka bidii ya kutosha katika kuokoa roho yako through prayers,kufunga,kutoa sadaka etc badala ya kuhangaika na private affairs za watu wengine ambazo kusema kweli hazikuhusu wala kukuathiri kwa lolote kwani unayolalamikia yanafanyika vyumbani na wala hujawahi kuyashuhudia kwa macho yako.Kumbuka duniani humu kila mja kaja kivyake na ataondoka kivyake.STOP JUDGING LEST YOU BE JUDGED!
 
Ndugu, kuhusu serikali, haiwezi kuingilia mambo hayo ambayo yako mafichoni. Inachoweza kufanya ni kujitahidi kuzuia ndoa za jinsia moja japo na huu utandawazi itafika mahali tutashindwa kuishi kama nchi kisiwani.
Nashangaa inapingwa wanaume kutumia njia ya haja kubwa, huwa najiuliza ya mwanaume na mwanamke ina tofauti gani? Ukipata confession za mtu mmoja mmoja juu ya mambo na maisha yao binafsi utabaki mdomo wazi. Lakini nikutoe shaka, Bible inasema Mungu ananyesha mvua yake kwa wema na wabaya. Kuna watakatifu wachache ambao kwa ajili yao sie wote tunapata lifti.
Hali ni mbaya, na hakuna anaekubali wazi kuwa anafanya haya.wakubwa hawakemewi, wanaelezwa. Asante kwa kutukumbusha kuwa kila mtu asimamie anachokiamini. Hata uzinzi ni dhambi lakini tumejihalalishia, kuna siku hata ya wanaume kwa wanaume itahalalishwa kama hii ya mlango wa uani kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom