Kwa nini wanawake wengi wachoyo?

Kwa nini wanawake wengi wachoyo?

..hahaha nilikuwa nataka tu kujua kama Mshinga upo that's all.....karibu uchangie mada kwa kuwa umeielewa...lol!!!
Hivi watu kabla ya kukoment watu huwa wameelewa mada?Napata wasiwasi,hapa haongelei mke wake bali anaongelea wanawake wengi kuwa ni wachoyo.
 
Last edited by a moderator:
nawewe utakuwa unaishi kwenye nyumba za wenzio, kama si kwa kaka yako, basi kwa baba yako mdogo. tafuta ya kwako nawewe uondokane na kubajetiwa, unakuwa mkali kisa katafuta ndugu yako? tafuta vyako ndugu. "MTEGEMEA CHA NDUGUYE..."

Wewe unajadili mada ama unamjadili mtoa mada?Uchangiaji wa aina hii haufai na ndo unaoharibu jukwaa,kama huwezi kujadili maudhui ya topic unaacha ama unasepa.
 
..hahaha nilikuwa nataka tu kujua kama Mshinga upo that's all.....karibu uchangie mada kwa kuwa umeielewa...lol!!!

Nimeamua nisitishe kwanza kuweka thread,ili nishughulike na wote wanatoa michango isiyohusiana na mada, ama wanakuja kumjadili mtoa mada na si mada,uzuri siogopi hata kurushiwa mawe,mana michango mingi ukisoma ni ya hovyo hovyo hata kama mada ni nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Kama isivyo wote hao wanawake anao wasema.......hapa mjini ukija na kiroba chako cha mchele ukiona kinaanza kuisha basi jiandae nyendo!!!!

Roho mbaya na uchoyo.
Na wewe ukienda kijijini unabebaga mbuzi ama kiroba cha mchele?
 
wanawivu ndio mana hawaridhiki eti kwakuwa ndugu yao ndo kichwa cha familia thubutuuu!!!

Visingizio kibao,unaachiwa hela ya kutosha lakini unatumia robo yake,hapo watu wasikuite mchoyo?Na kesho unaachiwa tena,unatumia robo,unataka usiitwe mchoyo?Ama mwanaume analeta nyama za wageni wewe unawalambisha tu kama unawaonjesha,wakija ndugu zako ukipewa hela unatumia yote kila siku tena mpaka na poketi money unawaombea na hela ya kufanyia shoping za nguo,bado unataka usiitwe mchoyo?
 
Atakua mkeo tu ndo ana mkono wa birika asa we unamuachia elf2 ya matumiz na unajua mkeo ni kaseja apo anahitaj kufanya marejesho akabunue dera etc unategemea atatoa wap??
Jiangalie ukija na uzi wako apa jf uwe umefanya research sio unajurupuka na kusema wanawake sema mke wangu.

Anaongelea wanawake wengi,iweje wewe ni mke wake tu wakati kasema wengi?
 
haya kila la kheri ewe uliyekuja kuturekebisha siye wakosaji......u r so perfect!hongera sana!
Nimeamua nisitishe kwanza kuweka thread,ili nishughulike na wote wanatoa michango isiyohusiana na mada, ama wanakuja kumjadili mtoa mada na si mada,uzuri siogopi hata kurushiwa mawe,mana michango mingi ukisoma ni ya hovyo hovyo hata kama mada ni nzuri.
 
Nipo hapa leo kupitia komenti kama hizi.
Hivi inakuwaje mdogo wako wewe akija ulipoolewa anaridhika kwa sababu tu ndugu yake ni mke/mwanamke lakini mdogo wako huyo huyo akienda kwa kaka yako asiridhike eti kwa kuwa huku anaitwa ndugu wa mume?Hauoni kama alipokuja kwako ulimhudumia vizuri kwa kuwa ni ndugu yako lakini alivyoenda kwa kaka yake algudumiwa kwa uchoyo kwa kuwa yule mwanamke si ndugu yake?"Wanawake wengi ni wachoyo" nakubali

Namuhudumia vizuri??????namchamba mavi au?
 
Mbona unamtuhumu mleta mada?Sisi tunataka kujua kama ni kweli ama la,kuwa wanawake ni wachoyo,kama unapinga toa sababu na kama unakubali toa maelezo yako,hii habari ya kujadili na kushambulia waleta mada inapaswa kukoma mara moja na kama huna cha kujadili kwenye mada soma michango ya wengine ama acha na si kujadili mleta mada badala ya mada.

Hata wewe ulipaswa kujadili mada na sio mimi............jiangalie
 
Ni kweli wanawake wengi ni wachoyo tena ukute kaolewa ndugu wa mume watakomaa
Tena wengine huwabania hata watoto chakula,nguo n.k
Wanawake tubadilike hili ni kweli kabisa tuwe na kiasi chs uchoyo
 
Ni kweli wanawake wengi ni wachoyo tena ukute kaolewa ndugu wa mume watakomaa
Tena wengine huwabania hata watoto chakula,nguo n.k
Wanawake tubadilike hili ni kweli kabisa tuwe na kiasi chs uchoyo
Na wewe ni mchoyo?
 
Tukiweka ushabiki na ujinsi pembeni wote ni wachoyo. Uchoyo hauchagui jinsia ila uchoyo ni roho/tabia ya mtu. Kuna wanaume pia ni wachoyo ila si rahisi hilo kuonekana sababu yeye siyo mstaru wa mbele katika utendaji wa shughuli katika familia. Na mda mwingine mwanamke ni mtu wa mipangilio ya kifamilia zaidi ya mwanamke.sasa inategemea na huyo mwanamke mpangilio yake katika familia yanalandana vipi na roho yake.
 
Nilikua na Aunt yangu kipind niko mdogo alikua anaweza kulia msosi chumbani especially vitu kama samaki wa kukaanga,kuku au chips,anajifungia na watoto wake tu ili watoto wa mumewe na sisi tusione lakini wale watoto wakitoka wanaringishia wamekula vinono

Karma ilivyokua balaa watoto wake sasa wanaishi maisha ya ovyo sana wengine walevi wa pombe chafu ukiwaona unaweza kulia,Aunt alishafariki baada ya kuteseka kwa muda mrefu

Moral of the story ni kinadada jitahidini kupunguza uchoyo malipo anaweza kupata mwanao hapo baadae kwa ubaya uliowafanyia mnaowaita ndugu wa mume we were just little innocent kids
 
Back
Top Bottom