Kwa nini wanawake wengi wachoyo?

Kwa nini wanawake wengi wachoyo?

Wewe ni mwenzao????!!!!

Komenti kama hizi ndizo zinaharibu jukwaa,badala ya kujadili mada mtu anataka kumjadili mleta mada,na wengine wakitaka kukujadili wewe humu itakuwaje?Tumieni akili,kama huna hoja za kuichangia mada unaacha,hapa ulitakiwa ukubaliane ama usikubaliane na maudhui ya mada kwa maelezo,hoja ama kukosoa ama kuongezea.
 
mnhhhhhhhhhh.......as if wanawake wote ni housewives?

Wapi kasema wanawake wote?Mleta mada kasema kabisa wanawake wengi wewe unataka akujibu kama ni wanawake wote,unnecessary comment,tujitahidi kusoma na kuelewa kabla ya kuchangia mada,mana mchango kama huu hautoi hata somo,kama hukubaliani naye ulipaswa kueleza kwa nini,ili na wengine tupime maelezo na uzito wake.
 
mh wewe umevurugwa tu huko utokako

Mbona unabwatuka?Kama kavurugwa kuna uhusiano gani na mada?Haya matatizo ya wachangiaji kujadili mleta mada badala ya mada sijui yataisha lini?Kama mada huiwezi unaacha kuchangia.
 
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.

Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!

Mbona unamtuhumu mleta mada?Sisi tunataka kujua kama ni kweli ama la,kuwa wanawake ni wachoyo,kama unapinga toa sababu na kama unakubali toa maelezo yako,hii habari ya kujadili na kushambulia waleta mada inapaswa kukoma mara moja na kama huna cha kujadili kwenye mada soma michango ya wengine ama acha na si kujadili mleta mada badala ya mada.
 
mnhhhhhhhhhh.......as if wanawake wote ni housewives?

inawezekana asiwe housewife lakini at the end mwanaume kwa jamii yetu ya kitanzania utampa pesa za supplies zote pale nyumban yeye ndo atazipitisha kama kwa hausgal au kwa muhusika akanunue hoja ya jamaa naweza sema ina ukweli fulani ni kwamba hasa menu utakuta iko hafifu na unaona kwa mfano umetoa pesa ya maana!!!
 
Usije ukamlaumu tu huyo mwanamke bila kuwa na facts zote, huyo aliyeacha matumizi alikupa list ya pesa iliyoachwa ni kwa ajili ya nini na nini? Isije ikawa kaachiwa pesa huku akiambiwa fanya maarifa itoshe mwezi mzima, wewe ukafikiri ameachiwa hela 'ya kila kitu'....
 
halafu ndugu wa mume hawaridhikagi, sijui wapoje?

Uongo wa mchana kweupe,ndugu wa mwanaume munawanyanyasa na uchoyo wenu alafu ndugu zenu munawahudumia vizuri mpaka wanaridhika,huu ndo uchoyo tunaousema. unaweza kunielezea chanzo cha hao ndugu kutokuridhika?Mfano wewe una kaka yako,wewe una familia na kaka yako anafamili,iweje ndugu zako wakija kwako wanaridhika kwa sababu ndugu wa mke lakini haohao ndugu zako wakienda kwa kaka yako wasiridhike kwa sababu sasa huku wanaitwa ni ndugu wa mume?Tumieni akili,bado nakubaliana na mada wanawake ndio tatizo.
 
Usije ukamlaumu tu huyo mwanamke bila kuwa na facts zote, huyo aliyeacha matumizi alikupa list ya pesa iliyoachwa ni kwa ajili ya nini na nini? Isije ikawa kaachiwa pesa huku akiambiwa fanya maarifa itoshe mwezi mzima, wewe ukafikiri ameachiwa hela 'ya kila kitu'....

Umeelewa mada wewe?Ama unajibu tu?Mleta mada haongelei mtu mmoja kama tukio,anaongelea wanawake wengi kuwa ni wachoyo. je unakubali ama unakataa?Toa maelezo
 
Yaani ni balaa......na baadhi yao ni manung'uniko mpaka mwisho!!!

Nipo hapa leo kupitia komenti kama hizi.
Hivi inakuwaje mdogo wako wewe akija ulipoolewa anaridhika kwa sababu tu ndugu yake ni mke/mwanamke lakini mdogo wako huyo huyo akienda kwa kaka yako asiridhike eti kwa kuwa huku anaitwa ndugu wa mume?Hauoni kama alipokuja kwako ulimhudumia vizuri kwa kuwa ni ndugu yako lakini alivyoenda kwa kaka yake algudumiwa kwa uchoyo kwa kuwa yule mwanamke si ndugu yake?"Wanawake wengi ni wachoyo" nakubali
 
km mkeo ndio anafanya hivyo mkuu, basi jisachi ujue una tatizo gani as inawezekana wewe ndio unasabisha hali hiyo halafu unajidai unashangaa na kujiuliza kwa nini...ni lazima kuna namna hapo amini usiamini....
 
km mkeo ndio anafanya hivyo mkuu, basi jisachi ujue una tatizo gani as inawezekana wewe ndio unasabisha hali hiyo halafu unajidai unashangaa na kujiuliza kwa nini...ni lazima kuna namna hapo amini usiamini....

Hivi watu kabla ya kukoment watu huwa wameelewa mada?Napata wasiwasi,hapa haongelei mke wake bali anaongelea wanawake wengi kuwa ni wachoyo.
 
Tunaspend kutokana na wallet zenu zinasoma vipi! Kama budget yenyewe ya kuvuta kwa manati, unadhani tufanyeje?
Si umesikia mama Pinda anasafiri na wapambe kibao??? Budget inaruhusu!
We spend as we earn lol!

Mbona ndugu zenu munawahudumia pasipo uchoyo?Ama kwa ndugu zenu hamtumii wallet za waume zenu?Ukitaka kujua uchoyo ama ukarimu wa mke wa pinda si katika safari za kiserikali mana hizo wanazitumia kuingizia kipato na hiyo hela haitoki kwenye wallet ya pinda ama ya mama pinda bali inatoka kwenye wallet ya serikali,Ifike mahali tuwe wakweli tuache kuspin muda wote.
 
Wanawake waliumbwa kupokea sio kutoa. Ndio maana kwa dini yetu, mwanaume akisha maliza, mwanamke atajijua asipoweza kujifikisha kileleni basi hatofikishwa

Kama mchango wako huwezi kuuweka vizuri ama huna kabisa mchango si bora ukasoma komenti za watu,nikisema ulichoandika hakihusiani na mada nitakosea?
 
mgeni anagubu huyo, avumilie tu maisha mjini magumu bana.

Wapi kasema tatizo la uchoyo wa wanawake ni la mjini?Wanawake wengi ndio mada,iwe kutoka mjini ama village.
 
Wanawake wengi wachoyo sana hata katika suala la kusaidia ndugu wengi hawataki kusikia, unapoolewa ujue kabisa kwa maisha ya waafrika wengi wanakua wana tegemeo lao na pia wanakuwa wanawekeza sana kwa mtu mmoja ili atakapotoka kimaisha aweze kuwanyanyua na wengine ila hilo wanawake hawaelewi akishaolewa ndo kila kitu...wanawake wengi wabinafsi mi mwenyewe nimeshamsoma wife
 
wanawake huwajali sana wa kwao na wanaona fahari kama wameolewa pazuri na watawafichia kila kiwezekanacho. pia wanawake huwapenda zaidi watoto wao na kujibaraguza kuwapenda wa wenzao hapo ndipo penye uchoyo!

Hivi ndo inatakiwa,unatoa hoja kule unakosimamia na si kutoa vioja.
 
Back
Top Bottom