Kwa nini wanawake wengi wachoyo?

Kwa nini wanawake wengi wachoyo?

mara nyingi ndugu wa mwanamke hawana shida coz wanajua wapo ugenini so hawawezi kuleta controlling ya masuala ya nyumba ya ndugu yao. tatizo ndugu wa mwanaume wakija kwa ndugu yao hujiona kama wao ndio wenye nyumba. watataka wahoji kila kitu, kitu ambacho sio sahihi,

Kwa maana nyingine tukienda kwa kaka zetu twajifanya ni kwetu? Lol...
Hayo mambo ya zamani sana, kila mtu ana mji wake, hakuna wa kumuingilia, mambo ya familia yake, bajeti zao...hamna wa kuziingilia.

Nahisi nyie mlioolewa huko ndo mnakuwa na fikra potofu, hampendi wa upande wa mume, then mnasingizia kuwa wanawatawala
 
halafu ndugu wa mume hawaridhikagi, sijui wapoje?

Wana demand uwa treat kama kaka yao,hawajui kaka yao anaenda extra mile to earn the respect and treatment! Ukiwaambia waoe nao wanaanza vikao vya familia.
 
Yaani wanatetea ndugu zao na roho mbaya zao. Jamani!!!
 
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.

Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!

tell him, nyumba ya mwenzie anataka kulifanya shamba la bibi. Watu wasake dough sio kutegemea ndg
 
So wewe unataka kuridhika kwa bajeti ya mwenzio???? Maisha yamepanda na wenzio wanahitaji maendeleo......
 
Ha ha haaaaaaa makavu live

Lina doea doea kwa kaka yake, afukuze aende mtaani akafanye kazi atafute vyake...mijitu ya namna hii inaboa sana. Ina maana mke wangu akitaka kubana matumizi kwa ajili ya akiba ya baadae imekua shida kwake ??? Hawajui mjini hapa vipato vina chanua na kunyauka ?? Ningekua naishi na mtu wa namna hii ningemnyoosha na kumshikisha adabu for sure angeniona katili sanaa. Mwanaume mtu mzima anataka alishwe na kaka yake..?? Total stupidity.
 
Afu we mtoa mada nahis yamekukuta haya uliyotuandikia eh!!inaonesha ww pia ni ndugu wa mume hapo unapokaa,, pole mwaya mjini kila nyumba ina namba!! Watu wanaenda na bajetiii!na cyo uchoyo
 
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.

Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!



teh teh teh, uwii! !!

umeonaeee, binafsi mashemeji zng wakila hawawezi kuondoa hata kijiko mezani, hawataki kufanya lolote, wanaamka saa tano wakute chai mezani, jamani nitaacha uchoyo?? nikija naembe nakula huku wananitizama mwanzo mwisho.....
 
ila its true kuna baadhi ya wanawake wako hivyo especially wale jobless wanaoshinda nyumbani, akipewa hela ya nyama atanunua tembele ili abane nyingine kwa matumizi yake binafsi..pole mdau ndo ukazane upate vya kwako usitegemee vya ndugu😎
 
Back
Top Bottom