Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,316
- 12,825
Kwani wewe ni she au he?
ni HE kule kwetu ambako ukituudhi tu tunajinyonga ukiona mwa-gito ujue wa kiume angekuwa wa kike angeitwa se-gito
Kwani wewe ni she au he?
Duh hyu mgen balaaa
halafu ndugu wa mume hawaridhikagi, sijui wapoje?
ninao hao watu hapa kwangu, balaaaaSi uchoyo ni budget maisha magumu haya ujue,hatwez kua tunakula sato kila cku,maharage tembele vyahusika...hauwez kakae kwako c kukaa kwa watu!maana kuna watu wanakula jaman utafikiri hana uhakika km atakula kesho na keshokutwa
Ni kweli ni tatizo kubwa kwa wanawake walio wengi. Angalia wanavyowatreat wasaidizi wa nyumbani. Umri ukiongezeka hali inakuwa mbaya. Chunguza ugomvi kati ya wanamama na ndugu wa mwanamme au wasichana wa kazi. Ubahili usio na maana. Sio rahisi kuuliza hasa watoto kuwa wanataka wapikiwe nini. Ukimtuma awafanyie watoto shopping wakirudi watoto wamenuna. Hotelini anajitahidi kuwachagulia chakula kisa kuogopa bili. Wanaume wengi wanalilalamikia swala hili. Wanawake tafadhalini jueni hili ni mojawapo ya maudhi kwenye ndoa au mahusiano mengi. Please do something to improve in this area.

Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.
Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!

Ingawa sio wote lakini wengi ni wachoyo sana naona hata wewe unayesoma hii maada kama mwanamke itakuwa inakugusa inawezekana na wewe ni mchoyo.Unakuta nyumbani kuna kila kitu au mumeo amekuachia kila kitu lakini utafanya vijibajeti unavyovijua mwenyewe ili watu wasilizike, muhusika akikuuliza unakuja na majibu yasiyo na kichwa wala miguu yawezekana anayetafuta mwingine sio wewe hii ni kwa nini?