Kwa nini wanawake wanalia sana msibani?

Kwa nini wanawake wanalia sana msibani?

hili swala lipo kisayansi zaidi, katika kumstudy mwanadamu especially the behavioural part, wanataaluma waliweza kugawa makundi mawili kitabia kwa binadamu, nayo ni Masculine behavioural characteristics na Feminine behavioural characteristics. moja ya behaviour ya feminine ni kutatua tatizo kwa kulia, na ilifanyika experiment kwa watoto wadogo sana kwa kuwatenganisha na wazazi wao kwa kioo transparency, reaction walizoonyesha watoto hao zikaprove facts
 
wangecheka ingekuwaje wanabalance situation dats all
 
Baba na mama wote ni wazazi.Lakini mama ndiye aliyekamilisha zoezi zima la kuleta mtoto duniani.Ule uchungu anaoupata mwanamke katika zoezi hilo ndio haswa unaomuumiza inapotokea Mtu amepoteza maisha.

wengine hawajazaa ila wanalia sana!
 
Habari wanaJF,
katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia hata km marehemu ni mtu.wa karibu sana kwao,chakushangaza kwa upande wa pili akina mama au wanawake huwa wanalia sana msibani,tena kwa sauti kubwa km watoto wadogo!
Je,sababu kubwa ni ipi inayowafanya wanawake kulia sana kuliko wanaume?
je,kuna sababu ya kisayansi inayotofautisha haya mambo?
Naomba mawazo yenu wakuu.

Wanaume wengi tunadhani kulia huwa kunatupunguzia ile manhood yetu..but all in all it's about feelings and has nothing to do with gender!
 
Kuna bibi mmoja alilia sana msibani alipoulizwa kwa nini analia sana alisema amekumbuka jogoo wake aliyeibwa juzi.Wakati mwingine wanalia kukumbushia maswaibu wanayokumbana nayo katika maisha na si kwa uchungu wa kuondokewa na marehemu.
 
mi huruma hunijia na only solution ni kulia hata tamthilia yenyewe nalia wewe kupunguza machungu kujikaza cwezi aise
 
kilio cha wanawake wa Leo ni kumkufuru mungu.kama vile amemuonea marehemu.inashangaza sometimes alokufa ni kikongwe hats kuongea hawezi.lkn mhhh
 
Wanawake ndio wanavibeba hivyo viumbe miezi 9 tumboni, wanawake ndio wanazaa, wanaujuwa uchungu wake.

Wewe jaribu kwa kubeba jiwe tu miezi 9 (lifunge tumboni) halafu utaelewa kwanini wanawake wakifiwa wanalia sana.
 
Baada ya ADAM&EVE kumuudhi MUNGU pale edeni kila jinsia ilipewa adhabu(laana) yake kivyake. Me atashiba kwa jasho lake na KE atazaa kwa uchungu+machozi. So usiwashangae akina mama kububujikwa na machozi kwani hawajapewa roho ya kaba kuzuia simanzi na huzuni tofauti na mwanaumme.

Mkuu kisima naona unaongezea mistari ili ku-justify hoja. Neno linasema mwanaume atakula kwa jasholake na mwanamke atazaa kwa uchungu....hiyo habari ya uchungu+ machozi umeitolea wapi?
 
Habari wanaJF,
katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia hata km marehemu ni mtu.wa karibu sana kwao,chakushangaza kwa upande wa pili akina mama au wanawake huwa wanalia sana msibani,tena kwa sauti kubwa km watoto wadogo!
Je,sababu kubwa ni ipi inayowafanya wanawake kulia sana kuliko wanaume?
je,kuna sababu ya kisayansi inayotofautisha haya mambo?
Naomba mawazo yenu wakuu.

Sio wote wanamlilia marehemu. Wengiwao wanalia wakikumbuka kuna michango ya rambirambi wanapaswa kutoa ilhali pochi haina kitu.
 
Wanawake ndio wanavibeba hivyo viumbe miezi 9 tumboni, wanawake ndio wanazaa, wanaujuwa uchungu wake.

Wewe jaribu kwa kubeba jiwe tu miezi 9 (lifunge tumboni) halafu utaelewa kwanini wanawake wakifiwa wanalia sana.

hili jambo la wanawake kubeba mimba miezi 9 mbona linakomaliwa sana,sisi mbona tunabeba PUU...MBU tena mbili ,maisha yetu yote na hatulalamiki!
 
Back
Top Bottom