Kwa nini wanawake wanalia sana msibani?

Kwa nini wanawake wanalia sana msibani?

Wanawake Wamezoea Tu Kulia Licha Ya Msibani,juzi Tu Mpeozi Wangu Kalia Kwa Sababu Simu Ilikuwa Imekatika Kutokana Na Tatizo La Network Anapiga Tena Cmu Anaanze Kulia
 
hili jambo la wanawake kubeba mimba miezi 9 mbona linakomaliwa sana,sisi mbona tunabeba PUU...MBU tena mbili ,maisha yetu yote na hatulalamiki!

Sasa linganisha hivyo vigololi vyako na kichwa chako, au una busha wewe?

Wanawake wanakubeba tumboni wewe, mzima mzima kwa miezi tisa na hizo korodani zako. Kumbuka hilo.
 
sasa wewe ulitaka baada ya tendo kila jinsi ibebe mimba?,shukuru Mungu umeumbwa wa kike kama ninavyoshukuru nimeumbwa wa kiume, na tofauti uzionazo ndio ukuu wenyewe, kulialia acha!,kwa mwanamke kushika mimba ndio FAHARI yenyewe ya uanamke.
 
Kawaida wanawake wana uchungu sana kuliko wanaume ukizingatia kuwa mimba anabeba kwa miezi tisa na bado kumlea mtoto hadi ajitambue.
 
Habari wanaJF,
katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia hata km marehemu ni mtu.wa karibu sana kwao,chakushangaza kwa upande wa pili akina mama au wanawake huwa wanalia sana msibani,tena kwa sauti kubwa km watoto wadogo!
Je,sababu kubwa ni ipi inayowafanya wanawake kulia sana kuliko wanaume?
je,kuna sababu ya kisayansi inayotofautisha haya mambo?
Naomba mawazo yenu wakuu.

Wanalia sana Bcz their soo emotional.
Wanaume hatulii sana bcz we are not driven by emotion.
 
Back
Top Bottom