Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Lisa ulikuwa mtaa gani? Na sasa hv uko wapi?Duhh nyani ngabu umenikumbusha mbaliiiii!!!Rabiyaaa alikua kiboko jamani!ulikua unakaa upanga mtaa gani??nimekulia uko mie
nataka kukukodi uje sherehesha harusi, charge zako zikoje Chizenga?Boflo,una chuchu?wanaume hatuna chuchu,chuchu gani hazitoi maziwa.....hicho ni kifua!kama unaona kifua cha mwanaume kimefanana na chuchu huo ni ufanano tu kama walivyofanana mr dick and miss clit!lol
nataka kukukodi uje sherehesha harusi, charge zako zikoje Chizenga?
mimi huwa nazitumia....
Kwa nini wanaume wana chuchu??
Viungo vyote tulivyo navyo vina kazi maalum,
lakini sijajua kwa nini men wawe na chuchu, nini kazi yake??
ha haaaa.......Japo mimi ni mzee wa deadline, lakini hili darasa nitalipia wiki mbili kabla. naona zinaozea tu hapa chestini. LoL!:smile-big:
ha haaa, kwani si tulifundishwa na matumizi ya hii kitu mdogo wangu?ATI!
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHA walahi kuna mtu kaandika hii makitu hapa! BAK njoo uone!:A S 101::gossip:
Lisa ulikuwa mtaa gani? Na sasa hv uko wapi?
Mm niko Kibasila karibu tu na Shebby school Nyani Ngabu huyo kasoma Shaban Robert kwao mkoani
Napajua saaaana ww ni jirani yangu kabisa, hebu njoo utembee bwana siku moja, na yule bibi waBoflo mie nilikua mtaa wa mazengo karibia na ule ubalozi wa Iran!
Kwa nini wanaume wana chuchu??
Viungo vyote tulivyo navyo vina kazi maalum,
lakini sijajua kwa nini men wawe na chuchu, nini kazi yake??
muongo,huwa unazinyonya najuasijui hayo matumizi yanaitwaje....
najua kuonyesha kwa vitendo tu
madmankache hongera sana umepata, jibu nilikuwa nalijuaBnadam anapokua 2mboni ktk stage za mwanzo anakua bado hana jnsia xo dume,jike wote wanakua na chuchu
Eti unadhitumiaje? Tuthilikishaneeeee...mimi huwa nazitumia....
ha haaa, jisajiri kwenye darasa nitakaloonyesha kwa vitendoEti unadhitumiaje? Tuthilikishaneeeee...