Kwa nini wana Jf wanapenda kutoa ushauri?


Nafikiri kwenye jukwaa hili watu wana moyo wa kujali na kusaidia wenzao na ndiyo maana hata ikitokea misiba, mtu humjui hakujui lakini anajitahidi kushiriki kwa namna moja au nyingine. Upendo wa namna hii ni mgumu sana kuupata sehemu nyingine.

Hata kitendo cha kuandaa hafla kwa wanajamii kukutana na kufahamiana ni jambo pekee ambalo unaweza kuleta hapa JF na siyo kwenye mitandao mingine. Ziara za kwenda mikoani kusalimiana nalo ni jambo muhimu na la kipekee. Nina mengi ya kusema kuhusu mtandano huu lakini kwa ufupi niseme nimevutiwa sana na JF, na sitarajii kubanduka leo wala kesho!

Big up sana wana JF.

Cheers,

HorseNguvu
 
Nyooo mwenyewe mwana hizaya usokuwa na haya.... Unanionea gere
avatar yangu ninameremeta...nitakupiga ban jumba la bata
cc mwaJ
Boflo avatar gani hiyo? Kwani wewe ni dadake na yle mtetezi wa ccm? Nimemsahau jina ila ana sura ilopakwa chokaa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…