Unaweza pia kusema Hata Wakenya katika Afrika mashariki ni wabaguzi sana kwani ni wao zaidi wanashinda mbio ndefu!!!!
Sio wachaga tu bali ni wakristo
yaani wahaya utawajua tu!!!Makanisani pia. Asilimia 75 ya Paroko wote Tanzania ni Wachaga. Kumbe kanisani nako kuna ubaguzi sikujua. Sijui hata mbinguni itakuwa hivyo? Nahamishia wanangu Kilimanjaro wakasome huko.
Je, na sisi Wahaya mtasema nini? Maana baada ya wachaga kila mahali ni Wahaya.
Kwa kuongezea kuna wakati fulani wazee rufiji walilalamika kuwa hawamtaki mkuu wa shule fulani kisa katoka bara wanataka apewe mzawa.Mkuu wa mkoa wakati huo aliwauliza haya mleteni Headmaster mnayemjua anasifa hapa kijiji tumpe kazi wakabaki wametumbua macho! Mambo mengine tusilalamike ili mradi tunajua kuandika na kuongea angalia idadi ya shule kilimanjaro then linganisha na kijijini kwenu utapa jibu.Sio kweli, inaweza kuonekana ni Ubaguzi, lakini sababu kubwa hasa ya hao unaowaita Wachaga kuchukua nafasi nyingi kubwa, ni kwamba Mkoa wa KLM ndio unaoongoza kwa Elimu TZ na imekuwa hivyo kwa sababu za kihistoria, Hakuna Mkoa ambao unatilia mkazo Elimu kama KLM, na hakuna Mkoa wenye shule nyingi kama KLM, na imekuwa hivyo kwa karibu miaka 100, hivyo haishangazi popote unapoenda TZ au nje ya TZ utakuta watu wa KLM ndio wana kazi nzuri!
Hata ukienda kwenye Vyuo Vikuu, vitengo vingi vinaongozwa na watu waliosoma KLM, ukienda Nairobi Kenya UN, ukiwa na mawazo kama yako utasema pia kuna Ubaguzi kwa maana karibu kila mfanyakazi Mtanzania utakayemuona amesomea mkoa wa KLM, sasa UN wanajua nini kuhusu huo unaouita Uchaga au sio Uchaga? hivyo sio Ubaguzi bali ni kwamba Mkoa wa KLM umebahatika kutambua umuhimu wa ELIMU tangu zamani sana kwa sababu za kihistoria!
Mimi mwenyewe nipo huku Ulaya,nakula book na mvi yote hii. Wenzangu wakiwa na senti kidogo ni starehe unategemea nini?
marahabamkuu nmejaribu tu kusema ukweli kwa sababu juhudi na sifa pia kujitokeza kwa kuthubutu ndiko kunamweka mtu mbele.
Sio kweli, inaweza kuonekana ni Ubaguzi, lakini sababu kubwa hasa ya hao unaowaita Wachaga kuchukua nafasi nyingi kubwa, ni kwamba Mkoa wa KLM ndio unaoongoza kwa Elimu TZ na imekuwa hivyo kwa sababu za kihistoria, Hakuna Mkoa ambao unatilia mkazo Elimu kama KLM, na hakuna Mkoa wenye shule nyingi kama KLM, na imekuwa hivyo kwa karibu miaka 100, hivyo haishangazi popote unapoenda TZ au nje ya TZ utakuta watu wa KLM ndio wana kazi nzuri!
Hata ukienda kwenye Vyuo Vikuu, vitengo vingi vinaongozwa na watu waliosoma KLM, ukienda Nairobi Kenya UN, ukiwa na mawazo kama yako utasema pia kuna Ubaguzi kwa maana karibu kila mfanyakazi Mtanzania utakayemuona amesomea mkoa wa KLM, sasa UN wanajua nini kuhusu huo unaouita Uchaga au sio Uchaga? hivyo sio Ubaguzi bali ni kwamba Mkoa wa KLM umebahatika kutambua umuhimu wa ELIMU tangu zamani sana kwa sababu za kihistoria!
Aise napenda sana wachagga yaani. ujue hadi nina resolution katika maisha lazima nipate mtoto na mchaga kabla mungu hajanichukua-- kwa sharti mtoto akitoka tu akakulie kwa bibi yake moshi.... i love these people so much!
Unaweza pia kusema Hata Wakenya katika Afrika mashariki ni wabaguzi sana kwani ni wao zaidi wanashinda mbio ndefu!!!!
Hapo nilijaribu nikakwama pia usiombe isee they are so selfish too
nadhani ameshalifikiria, ila kwa sasa hatothubutu kutuletea hapa.hahahaha hachelewi kusema hata wajapani ni wabaguzi maana magari mengi wanatengeneza wao!
Makanisani pia. Asilimia 75 ya Paroko wote Tanzania ni Wachaga. Kumbe kanisani nako kuna ubaguzi sikujua. Sijui hata mbinguni itakuwa hivyo? Nahamishia wanangu Kilimanjaro wakasome huko.
Je, na sisi Wahaya mtasema nini? Maana baada ya wachaga kila mahali ni Wahaya.
acha mambo yako ya ukabila au hujafundwa na wazazi nini.Mfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA
ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!