Kwa nini Uwezo wetu wa Kulumbana kwa hoja Umeshuka kwa kasi...

Kwahiyo wakiwepo hao mabashite wawili ndo Ukweli upingwe? Mi kwangu ni nchi kwanza. Vyama na watumishi wake bdae.
nimependa hiyo. Tatizo linaanza pale tunapolazimishana kuoina tanzania kupitia jicho ukawa au jicho CCM na itikadi zao na sio macho yetu. Mazungumzo yanakuwa hayahusishi free thinking
 
Kwasababu hata tukilumbana kwa hoja hakuna positive impact, Nchi ipo kwenye 2 men show, i.e Font fedi & koromije , hata ukiwa na hoja ya namna gani kwenye jambo lolote ubongo wako ukikumbuka hao watu wawili unaona hakuna thamani ya hoja bora uchekeshe siku zisonge
 
Back
Top Bottom