Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hili jambo sijawahi kulielewa, haya leo Polisi 4 wamepigwa risasi huko Texas, haya ni matatizo ya third World ambako raia wanakuwa anamuona Polisi kama adui lkn kwa nchi zilizoendelea na kustaarabika Polisi ni rafiki wa raia ...
Nafikiri civil war imekaribia USA, Wazungu hawawezi kukubali kuishi kwenye nchi ya namna hiyo, tegeni masikio mtaona, msisahu kwamba Katiba ya USA inaruhusu Majimbo kujitenga ni swala la kupiga kura tu wengi wakikubali Jimbo linajiondoa na USA, ukichukulia sasa hivi USA kupitia NAFTA wanataka kuungana na Kana na Mexiko wanaita North American Union na hapo ndipo vita itakapoanzia!

Raia wa USA akipigwa risasi na Polisi!
Huyo ni raia yuko Mtaani USA, kuna tofauti gani na Goma, Kongo!
Aliyempiga Polisi Risasi!