Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
je wewe ni mmoja wapo.....
kama ndio unajua hakuna kitu kibaya kama kuishi maisha ya mashaka
yawezekana uko na mwenzio umwamini...yawezekana uko ofisini huna amani...jibu ni moja hakuna jambo muhimu kama kuwa na maamuzi ya haraka...ukiwa na mshaka inaleta mawazo ambayo yanaleta magonjwa ya moyo na mengineo...
zipo rafiki nyingi zinaishi kwa kusuasua lakini unashanga jinsi mtu anavyoendeelea kukomaa huku moyo ukimdunda kila siku...acha kulea ugonjwa mwisho wake utapata magonjwa yasiyotibika.....
kama una matatizo yoyote jitahidi kuyatatua usiweke kitu moyoni kikaja kukuadhibu.....kama unaona hili ngoma nzito kwangu amua mapema ama
uchape lapa/ ama ukomae nalo...kumbuka mwisho wake ni kufa na shinikizo la damu mtoto wa miaka 27-35.,,,mi natumaini hata hawa wazazi wetu wanaokufa na mashinikizo ya damu kila siku hawajapenda siri nzito wanazo mama zetu...saasa kama hili utalitambua anza kutafuta amani...ishi na mtu aneeshimu amani yako....kama ni kazi usifanye kazi kwa uwoga kama auko na amani CHAPA LAPA...Mungu akukuumba ufanye kazi ya namna hiyo
nawatakia maisha mema