Andika vitu vieleweke,huku sio FBTractor nibkwa ajuli ya sehemu za mashamba... So kule kunatitia. Ili kuepuka hiyo ndo maana zina large area=low pressure.
Pia inatumia nguvu nying katk kaz zake thats y inavutia tyre za nyuma sio za mbele
Ili ale mifupa siku zoteKwanini miguu ya nyuma ya fisi mifupi kuliko ya mbele
Katika watu wote wewe upo very collect even if ujatumia physics kiundani ao wengine nipumbatu
Mnajua nyinyi wanafunzi mmekalili kutembea tu Yale ma Tyler sio special sana kwenye kutembea Bali kunakitu kinaitwa load nikimaanisha mzigo nazani mnafaham sasa ili kitu kiweze kubeba mzigo mkubwa lazima kitumie force kubwa kwaiyo lengo latyl kubwani kashata napia kunaswala lakudidi mia kwaiyo ule ukubwa unasaidia lakini kiphsics nikwamba lengo latyle kubwa ni kwamba kuzalisha force kubwa ili iweze kubeba mzigo napia iyo force inatokana kuwepo kwa kashata zenye small areas ili Kuzalisha pressure kubwa ili isiweze kunasa lakini kiujumla lengo la tyle kubwani kuzuia lisiweza kunasa kwasababu ya uwepo wakashata napia kubeba mzigo kwanamna mbili kwajisi linavyo lima namajembe yake
Hili nadhani process Maji Marefu.....atatusaidia majibu.Kwanini miguu ya nyuma ya fisi mifupi kuliko ya mbele
Andika vitu vieleweke,huku sio FB
Ipo hivi mkuu (japo mimi si mwanasayansi)
Refer
Pressure= Force/Area
Hii ina maana kwamba kadri Eneo linavokua kubwa basi Pressure inakua low (Au ili pressure iwe ndogo basi eneo husika inabidi liwe kubwa). Sasa kutoka kwenye hiyo kanuni ya pressure tunapata hii kitu
Force= Pressure x Area
Hii ina maana kwamba kadri pressure na eneo zinavoongezeka basi nguvu kubwa huzalishwa.
Ndio maana matairi ya nyuma ya tractor ni makubwa ili yaweze kuzalisha nguvu kubwa na hatimaye kuisukuma tractor.
Sababu ya msingi kubwa ni hii..
Kutokana na majukumu ya machine hii pamoja na kupita kwenye vizuizi barabara (matope, Mchonga, uterezi, mawe, nyasi n.k..) kwahiyo ili kuweza kupambana na vizuizi hivi, ni lazima uwe na Matairi yenye kashata kubwa kubwa, pia tairi lazima iwe na upana Mkubwa wa tairi.. So huwezi kupata kashata kubwa kwenye tairi ndogo.. Ili upate kashata kubwa, ni lazima tairi liwe kubwa na upana wa kanyagio la tairi uwe Mkubwa....
Tairi za mbele zimekua ndogo na nyembamba ili kurahisisha kuongoza mashine na kuifanya steering kuwa laini ktk kuiendesha mashine .