Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,736
- 5,966
Nguvu ya Mashine hii haitokani na ukubwa wa Matairi ya nyuma, bali ni gearbox pamoja kukosekana kwa differential unit kwenye usafirishaji mwendo kutoka kwenye gearbox kwenda kwenye magurudumu. Hapa ndipo asili ya nguvu na sio matairisikubaliani na wewe mkuu, ningekubali kama ungekuja na uhusiano wa pressure, force na area na kumbuka hii ni concept ya mechanics siyo hisia za kashata kama unavodai twambie kwa nn matairi makubwa yako nyuma