Sasa force itaongezekaje wakati unasema the larger the area ,the smaller the pressure?Ipo hivi mkuu (japo mimi si mwanasayansi)
Refer
Pressure= Force/Area
Hii ina maana kwamba kadri Eneo linavokua kubwa basi Pressure inakua low (Au ili pressure iwe ndogo basi eneo husika inabidi liwe kubwa). Sasa kutoka kwenye hiyo kanuni ya pressure tunapata hii kitu
Force= Pressure x Area
Hii ina maana kwamba kadri pressure na eneo zinavoongezeka basi nguvu kubwa huzalishwa.
Ndio maana matairi ya nyuma ya tractor ni makubwa ili yaweze kuzalisha nguvu kubwa na hatimaye kuisukuma tractor.
Hujajibu swali....pressure ndogo inahitajika nyuma ili iweje?The large the Area the small the pressure! Ina maana ata physics ya form one ukusoma.
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Habarini wanajamiiforum! Wanasayansi naombeni msaada jamani
Tractor nibkwa ajuli ya sehemu za mashamba... So kule kunatitia. Ili kuepuka hiyo ndo maana zina large area=low pressure.Habarini wanajamiiforum! Wanasayansi naombeni msaada jamani
physics inakuona mkuuJibu rahisi, kwa sababu mzigo uko nyuma na siyo mbele, ni sawa na Malori au Mabasi pia mahali ambapo mzigo unakaa ndiyo kuna matairi mapacha, lkn mbele ni tairi moja moja!
hahaha mzee baba mechanics inakutesamatari ya nyuma yanakuwa makubwa ili kusaidia trekta lisizame/kutitia linapokuwa shambani(kupunguza pressure)
maana larger the area lower the pressure
hahahahaha hii ni history mkuu, kwa mantiki hyo kuna uwezekano wa tairi kubwa kukaa mbele.Sababu ya msingi kubwa ni hii..
Kutokana na majukumu ya machine hii pamoja na kupita kwenye vizuizi barabara (matope, Mchonga, uterezi, mawe, nyasi n.k..) kwahiyo ili kuweza kupambana na vizuizi hivi, ni lazima uwe na Matairi yenye kashata kubwa kubwa, pia tairi lazima iwe na upana Mkubwa wa tairi.. So huwezi kupata kashata kubwa kwenye tairi ndogo.. Ili upate kashata kubwa, ni lazima tairi liwe kubwa na upana wa kanyagio la tairi uwe Mkubwa....
Tairi za mbele zimekua ndogo na nyembamba ili kurahisisha kuongoza mashine na kuifanya steering kuwa laini ktk kuiendesha mashine .
Unachopaswa kukijua ni kwamba, Tractor sio gari... Sasa ukianza kufananisha na Matairi makubwa ya fuso na Matairi ya ni tofauti... Hilo nililokuambia ndilo jibu la kiufundi na ndio mantic.. Usitafute jibu linginehahahahaha hii ni history mkuu, kwa mantiki hyo kuna uwezekano wa tairi kubwa kukaa mbele.
achana na habari za kashata, sema kwa nn tairi za nyuma ni kubwa maana kuna tairi zingine kashata hamna lakin bado linafanya kazi
sikubaliani na wewe mkuu, ningekubali kama ungekuja na uhusiano wa pressure, force na area na kumbuka hii ni concept ya mechanics siyo hisia za kashata kama unavodai twambie kwa nn matairi makubwa yako nyumaUnachopaswa kukijua ni kwamba, Tractor sio gari... Sasa ukianza kufananisha na Matairi makubwa ya fuso na Matairi ya ni tofauti... Hilo nililokuambia ndilo jibu la kiufundi na ndio mantic.. Usitafute jibu lingine
sikubaliani na wewe mkuu, ningekubali kama ungekuja na uhusiano wa pressure, force na area na kumbuka hii ni concept ya mechanics siyo hisia za kashata kama unavodai twambie kwa nn matairi makubwa yako nyuma
ndo useme sasa kwa nn hayo makubwa yawe nyuma, na yasiamie mbele na kashata zake??
toa majibu ya kifizikia mkuu acha kuhisi