matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,462
- 23,246
Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi.
Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema.
Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye ushuhuda wa watu kifanyiwa miujiza sio miujiza. Ndio maana Polisi Kenya walimshikilia Pr aliyekuja na magongo mimbarini ya viwete waliopona wakimtaka awaonyeshe waliokuwa wanatumia hayo magongo.
Waislam wao wanafurahi tu kuona mtu amejiunga na dini yao na kusilimu kisha kuhudhuria Ibada. Mambo ya miujiza na matendo makuu ya Mungu kwanza hata kwenye Quran hayamo na Mtume hajawahi hata kufanya miujiza. Hivyo hawana morali ya kufanya hivyo.
Hakuna kupindi katika dunia ambacho kimekuwepo bila kuwepo watu wa Mungu wenye nguvu za Mungu. Naamini Hadi Sasa wapo.
Kwa nini licha ya msisimko mkubwa wa imani nchini tunaona uhaba mkubwa wa miujiza ya kimungu. Ha hata ikitokea ni ile ya kuungaunga na kulazimishia sio ile kama Petro na Yohana kilema anasomama watu wa kawaida na Serikali inashuhudia mubashara.
Ni hayo tu.
Nini maoni yako.
Mtumishi Matunduizi