Kwa nini serikali imeficha ujio wa Bill Gate?

Ujulishwe we nani? na hii ni "private family visit" Mbona mara nyingi tu anakuja na hakuna ajuae. Huwa Mafia anavua bluemarlin, ndio hobby yake, deep sea fishing.

huku nyumba alikua aendi ikuli lakini hii kapiga hodi ofisini tulipawas kujua , kwamba hatapita na ofisi pale magogoni
kile sio kibanda cha mihogo cha kikwete
 
lodge-header-singita-sasakwa-lodge.jpg

yasemekana bill alikuwa huku



9 Luxury Cottages - Double:
US$1 675
per person per night sharing

Four-bedroom Luxury Private Retreat
US$7 500
per night for up to 4 guests

US$1 675
per person per night sharing for additional guests (maxiumum 8 guests)


nina hakika BILL alifunga mtaa sijui walimtoa kiasi gani? na sijui kama kuna kodi italipwa kwa viwango halisi au ndio hizi hizi tu TRA watakusanya

hii nchi hii basi, mimi wakinipa tanzania niiendeshe kibiashara kwa miaka mitano itakuwa kama DUBAI



Mkuu ni wapi hapa? hotel gani hii
 
Ili mpango wa kuiuza nchi yetu kwa wamarekani ukamilike bila wananchi kufahamu
 
huku nyumba alikua aendi ikuli lakini hii kapiga hodi ofisini tulipawas kujua , kwamba hatapita na ofisi pale magogonikile sio kibanda cha mihogo cha kikwete
Alipofika huko na hizo picha ulizipataje kama hukujulishwa? Au ulizipata wikileaks?
 
hii ni TWO ni ONE bana hacha ubishi nimekuwekea hapo juu hoja hiko wazi alitembelea na miradi anayefadhiliharafu kama ilikuwa ni private na wao hawataki sisi tujui hiyo picha ni kwa hisani ya mpicha picha wa IKULU imewekwa kwenye HABARI LEO kwenye gazeti la serikali bila habari yeyote ya maandishilakini magatezi ya kenya yameandika hii habari na hiyo unayong'ang'ania wewe nimeiweka hapa baada ya kuitafuta kwenyemitaandao. ndio maana nina uliza kwa nini hapa nyumbani kimya hali kwingine wanasema ?mbaya zaidi wametuweka picha tu ya kikwete kwenye suti yake mpyawanaficha nini?
Bill+Gatespix.jpg
President Jakaya Kikwete (right) meets with the co-chair of the Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates, at State House in Dar es Salaam Wednesday. PHOTO | STATE HOUSE |
"suti yake mpya?" umenifanya nicheke mbele za watu
 
Kwani serikali imeficha nini.Au baadhi yetu tulitarajia kuwa coverage ya Bill gate iwe kama ya kiongozi wa nchi.Mimi naamini huyu alikuwa kwenye private visit.
 
Kwani serikali imeficha nini.Au baadhi yetu tulitarajia kuwa coverage ya Bill gate iwe kama ya kiongozi wa nchi.Mimi naamini huyu alikuwa kwenye private visit.

wewe unaona kikwete mwenye alikwenda kununua suti mpya kwa ajili ya BILL
wewe unamfananisha BILL gate na wanasiasa eti viongozi wa nchi

huyo anaweza kumiliki nchi kama yetu mara nne na uwezekano huyo
kicha hakaweka hao unaoita viongozi waongoze

husichangaye mambo bill gate tulipna heshima ya ubalozi miaka nenda rudi 2003
na balozi wa umoja wa mataifa kwa mambo mengi sana.

kwanza kikwete kukaa naye hapo na kupiga picha utamsikia tu sikumo hakilipuka kwa kujisifu alipiga picha na bill
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho. Huyo ndio JMK na huyo ndio swahib yake, One of the richest man if not the richest man in the world.

Hajaonana na Mwenkekiti Mbowe? Ooopsss kumbe hajaja kisiasa!
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho. Huyo ndio JMK na huyo ndio swahib yake, One of the richest man if not the richest man in the world.

Hajaonana na Mwenkekiti Mbowe? Ooopsss kumbe hajaja kisiasa!

hehehehe! huu ujinga ndio matokeo ya utawala wa ccm
 
Hawa jamaa bwana wajanja sana.Mimi huwa nacheka sana jinsi tulivyo wapumbavu.Programmes zote wanazotuletea they are designed not to succeed tena kwa makusudi kabisa,lakini funny enough we don't see. Either tu wajinga hatujui kinachoendelea au tunapewa kitu kidogo.Jamani lakini ninyi hamuoni,ipo wapi elimu,kipo wapi kilimo,ipo wapi afya,the list is long, mambo ni hoi kabisa.Lakini utasikia mara Bill Gates,mara Rockefeller,mara IMF,mara World Bank,hakuna lolote,hawa ni wasanii tu.Hivi tutastuka lini?Ovyoo.......Wana haki ya kuficha usanii huu,hata mimi ningeficha!
Gates assures Tanzania of research assistance

Dar es Salaam. The Bill and Melinda Gates Foundation will continue to assist Tanzania in research in health and agriculture sectors.The Foundation co-chair, Mr Bill Gates, assured President Jakaya Kikwete of the continued assistance when they held talks at the State House yesterday.

“We are ready to continue assisting Tanzania if you will avail your priorities to us,” said Mr Gates, who is in the country with his wife, Melinda, on a private family trip.A statement from President Kikwete’s assistant press secretary, Ms Premmy Kibanga, said for his part, Mr Kikwete thanked Mr and Mrs Gates for the great assistance they have been extending to the country.

In their tour, Mr and Mrs Gates have visited Serengeti National Park. Apart from being on a private tour, the two have also performed a number of official duties, including visiting and inspecting a number of projects which they have been supporting in the country. They have already visited a Research and Training Centre at Bagamoyo District Hospital, which is part of the Ifakara Health Research and Development Centre (IRHDC). The Bagamoyo research centre is aimed at finding the source of cassava disease.

They have also visited the Mikocheni Agricultural Research Institute (Mari). Bill and Melinda Gates Foundation supports the two institutions.Meanwhile, President Kikwete left yesterday afternoon for Malabo in Equatorial Guinea, to attend the annual meeting of the African Union (AU), which will be under the chairmanship of President Teodoro Obiango Nguema Mbasogo.

The main agenda of the meeting would centre on empowerment of youths for development.President Kikwete is expected back in the country on July 2, and on July 3, he will be a chief guest at celebrations to mark International Day of Cooperatives at the national level in Kagera Region.

On July 4, President Kikwete would inaugurate the Mwandiga-Manyovu road; launch the construction of Kidahwe-Uvinza road as well as the construction of a bridge across Malagarasi River.

the citizen[/QUOTE
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho. Huyo ndio JMK na huyo ndio swahib yake, One of the richest man if not the richest man in the world.

Hajaonana na Mwenkekiti Mbowe? Ooopsss kumbe hajaja kisiasa!

wewe sophia lioni nani anakuweza kwa ngonjera na vibwagizo
 
MFUKO wa Bill na Melinda Gates utaendelea kuisaidia Tanzania katika masuala mbalimbali ya Utafiti katika sekta za afya na kilimo.

“Tuko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kama mtatupa vipaumbele vyenu,” Mwenyekiti
mwenza wa Mfuko wa Bill na Melinda Gates, Bill Gates alimwambia Rais Kikwete jana
mchana alipofika Ikulu kumsalimia.

Rais Kikwete amemshukuru Gates na mkewe Melinda kwa msaada wao mkubwa wanaoupatia
Tanzania.
 
"We are ready to continue assisting Tanzania if you will avail your priorities to us," said Mr Gates
What you mean if we "avail our priorities" to you Bill Gates? National priorities are a matter of public policy available to anyone, they just passed the 2012 budget, go read and "avail yourself of the priorities." If that's a cowering way of saying you want us to realign our priorities to suit your vision of Tanzanian solution, then how poorly veiled that was.

Besides, we don't want the handouts anymore, they get us nowhere, we want trade or nothing, if the lightweight president didn't have the balls to tell you that. If begging gets anybody anywhere then the street panhandlers in Seattle would have been richer than you are, cos they are professionals at it. There was a time when we had presidents of mettle and principle that you wouldn't dare throw that panhandling gibberish to.

Take the those strings attached, bind them to your money and shove it you know where.
 
Bill gates ana fund mradi huu. Khan Academy

Hope kuna mtu wziara ya elimu ataona.

Sasa wizara ya elimu inashindwa nini
  • kutoa copy ya video za maana na kugawa CD and DVD kwa wanafuzi na mashule?
  • kutafuta walimu wa kitanzania kutoa kitu kama hicho kwa masomo yale yanayonekana wanafuzi hawafanyi vizuri.?

Kwa nini maabara zote za shule ya sekondary hasa za mjini ambazo nyingi hazina vifaa zisibadilishwe kuwa video room au inforamtion center room?
How much will it cost serikali kugaawa TV kwa kila shule na copy ya video na educationa documentary?

How much will it impove education


Mpaka billgate asemeeeeee
 
Back
Top Bottom