Kwa nini serikali imeficha ujio wa Bill Gate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini serikali imeficha ujio wa Bill Gate?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by POSHO MAVYEO, Jun 30, 2011.

 1. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  bill gate.jpg

  Bill ana miradi mingi sana hapa tanzania ingekuwa busara kama watanzania wangejua amekuja na nini kimemleta
  kama kuna kitu kinaendelea nchi mwetu ni haki kujua sia kupigwa kama mshangao

  mbona wengine tunajulishwa hata miazi mingi kabla
   
 2. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Gates assures Tanzania of research assistance

  Dar es Salaam. The Bill and Melinda Gates Foundation will continue to assist Tanzania in research in health and agriculture sectors.The Foundation co-chair, Mr Bill Gates, assured President Jakaya Kikwete of the continued assistance when they held talks at the State House yesterday.

  "We are ready to continue assisting Tanzania if you will avail your priorities to us," said Mr Gates, who is in the country with his wife, Melinda, on a private family trip.A statement from President Kikwete's assistant press secretary, Ms Premmy Kibanga, said for his part, Mr Kikwete thanked Mr and Mrs Gates for the great assistance they have been extending to the country.

  In their tour, Mr and Mrs Gates have visited Serengeti National Park. Apart from being on a private tour, the two have also performed a number of official duties, including visiting and inspecting a number of projects which they have been supporting in the country. They have already visited a Research and Training Centre at Bagamoyo District Hospital, which is part of the Ifakara Health Research and Development Centre (IRHDC). The Bagamoyo research centre is aimed at finding the source of cassava disease.

  They have also visited the Mikocheni Agricultural Research Institute (Mari). Bill and Melinda Gates Foundation supports the two institutions.Meanwhile, President Kikwete left yesterday afternoon for Malabo in Equatorial Guinea, to attend the annual meeting of the African Union (AU), which will be under the chairmanship of President Teodoro Obiango Nguema Mbasogo.

  The main agenda of the meeting would centre on empowerment of youths for development.President Kikwete is expected back in the country on July 2, and on July 3, he will be a chief guest at celebrations to mark International Day of Cooperatives at the national level in Kagera Region.

  On July 4, President Kikwete would inaugurate the Mwandiga-Manyovu road; launch the construction of Kidahwe-Uvinza road as well as the construction of a bridge across Malagarasi River.

  the citizen
   
 3. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Security!
   
 4. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbona bush na mama clinton walisema
  hakuna hata media coverage ya kutosha aftermaths
   
 5. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hii ndio njia wanayotumia kuchukua misaada kicha kiichimbia kwenye vitambi vyao maana hakuna nayesema wakipokea kitu
   
 6. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nimeshangaa sana jamaa kaja kimya kimya ****** alpomaliza kuongea nae yeye huyo kwenye pipa!
   
 7. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kaisha vuta nauli ndio maana hakuna naye andika hizo habari hapa bongo
  kama ilikuwa ni security issue kwa nini sasa wasifanye press release ya matukio ya mkubwa
  au waseme ni siri tumpige ban na yeye kwenda ikulu kwa siri
  hiyo ni state house sio kibanda cha kuchomea mihongo eti mtu anakuja anaingia na kutoka.
  kuna kitu wanafuni hawa
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hivi ni serikali imeficha au hii habari sio priority kwa waandishi wa habari?
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Someni vizuri ilikuwa 'private visit' na alimtembelea Rais kama courtesy call.
   
 10. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wewe ndio soma vizuri amefanya mambo ya kiofisi pia mbona na hayo wanamekaa kimya
  kuna courtesy kutembelea ikulu mbona unadhaliisha serikali unayoitetea

  Bill hawezi kwenye ikulu bila ratiba bana na ujio wake lazima walijua na security ilizingatiwa,
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ina wezekana mwenyewe (Bill Gates) alitaka iwe private matter. Mfanyabiasha binafsi na kiongozi wa nchi ambae yupo kwenye ziara rasmi ni vitu viwili tofauti.
   
 12. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yawezekana ni kweli unachosema, ila sidhani kama habari ya BILL ni yakufunika maana huyo ni pesa na anamwaga pesa ya kutosha,
  mwaka jana tu katoa msaada wa pesa zaidi ya utajiri wa mmiliki wa Chelsea na wananufaika TANZANIA ni moja wapo

  leo anakuja wanamtembeza kisiri siri bila shaka hata huko alikokwenda hawakujua ni nani
   
 13. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umesoma habari yote kuna mambo kafanya ya kiofisi je ni yepi hayo?

  BILL sio mfanyabiashara mkuu ni zaidi ya hapo soma vizuri mambo yake

  he two have also performed a number of official duties, including visiting and inspecting a number of projects which they have been supporting in the country. They have already visited a Research and Training Centre at Bagamoyo District Hospital, which is part of the Ifakara Health Research and Development Centre (IRHDC). The Bagamoyo research centre is aimed at finding the source of cassava disease.
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Haibadilishi fact kwamba kama mwenyewe alitaka trip iwe private ana haki hiyo.
   
 15. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  he two have also performed a number of official duties, including visiting and inspecting a number of projects which they have been supporting in the country. They have already visited a Research and Training Centre at Bagamoyo District Hospital, which is part of the Ifakara Health Research and Development Centre (IRHDC). The Bagamoyo research centre is aimed at finding the source of cassava disease.
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Soma hapo mkuu.
   
 17. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
   
 18. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hii ni TWO ni ONE bana
  hacha ubishi nimekuwekea hapo juu hoja hiko wazi alitembelea na miradi anayefadhili

  harafu kama ilikuwa ni private na wao hawataki sisi tujui hiyo picha ni kwa hisani ya mpicha picha wa IKULU
  imewekwa kwenye HABARI LEO kwenye gazeti la serikali bila habari yeyote ya maandishi

  lakini magatezi ya kenya yameandika hii habari na hiyo unayong'ang'ania wewe nimeiweka hapa baada ya kuitafuta kwenye
  mitaandao.

  ndio maana nina uliza kwa nini hapa nyumbani kimya hali kwingine wanasema ?

  mbaya zaidi wametuweka picha tu ya kikwete kwenye suti yake mpya
  wanaficha nini?
  [​IMG]President Jakaya Kikwete (right) meets with the co-chair of the Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates, at State House in Dar es Salaam Wednesday. PHOTO | STATE HOUSE |
   
 19. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Eh haya mkuu naona huelewi somo. Anyway alikuja na taarifa haikutolewa. Hata tubishane mpaka kesho haitabadilisha kitu. Ngoja wengine waendelee na thread yako.
   
 20. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
Loading...