EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
yawezekana ni kweli unachosema, ila sidhani kama habari ya BILL ni yakufunika maana huyo ni pesa na anamwaga pesa ya kutosha,
mwaka jana tu katoa msaada wa pesa zaidi ya utajiri wa mmiliki wa Chelsea na wananufaika TANZANIA ni moja wapo
leo anakuja wanamtembeza kisiri siri bila shaka hata huko alikokwenda hawakujua ni nani
Amemwaga pesa kwa waandishi wa habari? Unafikiri angewamwagia pesa wasingemwandika? Utauliza kama Clinton aliwamwagia pesa, but you know how how the system work an hawa waandhishi wetu.