Kwa nini Rais analazimisha kitu ambacho hana madaraka nacho ya Kikatiba? (Video)

nisaidie - ni sawa na mfalme au Sultani?
Nakupa challenge, labda umchague the most democratically elected president, ambaye wewe unaona ni mfano bora, halafu tufananishe mamlaka aliyonayo kikatiba na mamlaka alyonayo kikwete kikatiba.
Rais yeyote duniani.
 
Mkuu mbona unachekesha kwa sababu nchi nyingi rais ana celemonial role na PM ndiye kiongozi wa serikali.. haya tuchukulie Ireland...
 
Ajaribu basi kuandika hiyo sheria auone mziki wake!

Sisi ni waoga tu, mwanzoni tulisema ukipita huo muswada atauona mziki, sasa muswada umepitishwa hakuna mziki tunasema tusuburi iandikwe. Watanzania ni rahisi sana kuwaongoza jinsi unavyotaka wewe, kwanza watasahau baada ya wiki moja tu habari za katiba.
 
Labda nikusaidie tu ya kwamba wazo linaweza kutoka kwa mtu mmoja na katiba ikaandikwa na mtu mmoja lakini mchakato wa kuunda katiba lazima uhusishe wananchi wote kulingana na mazingira mliyopo.. Labda soma mchakato wa katiba ya Marekani (ingawa sipendi sana kuiga) na kisha nambie nafasi ya rais wao. Bofya
Dah!
Nadhani mkuu hii mada unaipotosha.
Theres a referrendum of course. But who is going to draft the constitutiuon? and how are we going to involve the mass in the process?
Ukizungumzia katiba ya Marekani ilivyopatikana, utamfanya JK unayemchukia aonekane mtakatifu na mwanademokrasia.... So lets not go there.
 
HTML:
Mkuu mbona unachekesha kwa sababu nchi nyingi rais ana celemonial role na PM ndiye kiongozi wa serikali.. haya tuchukulie Ireland...
Nikzungumzia rais, unaelewa namaanisha nini.
Sizungumzii parlamentary system, Rais kama Sarkozy, the head ofstate.
 
Dah!
Nadhani mkuu hii mada unaipotosha.
Theres a referrendum of course. But who is going to draft the constitutiuon? and how are we going to involve the mass in the process?
Ukizungumzia katiba ya Marekani ilivyopatikana, utamfanya JK unayemchukia aonekane mtakatifu na mwanademokrasia.... So lets not go there.

Hivi kweli nikikuambia kuwa Rais asiteue wajumbe wa Bunge la Katiba ina maana utashindwa kabisa kabisa kufikiria namna nyingine yoyote ya kuwapata wajumbe hao? Really?

Labda nikuulize: Ni yupi kati ya hawa ambaye yuko 'sovereign'?

a. Rais
b. Nchi
c. Wananchi
d. Bunge
e. Katiba
?
 
Kwani mkuu wangu sasa hivi tupo hatua gani? hili nadhani ndilo mnalolipotosha...Aliyeleta mfano wa katiba ya Marekani sio wewe?...Soma hiyo ya Marekani kisha nambie sisi tumefikia hatua gani na sidhani kama watakao i draft constitution yetu ni hiyo tume ya rais. Anyway jibu kwanza hilo kisha tuendelee..
 
Hiyo katiba mpya itaundwajwe bila ya Rais?? yaani utaratibu uweje labda tusaidiana hapa maana mimi nashindwa kuwaelewa wengi wenu???

Rais ateue watu wake watakaoingia katika tume na makundi mbalimbali ya kijamii yapendekeze watu wake.
 
Nikzungumzia rais, unaelewa namaanisha nini.
Sizungumzii parlamentary system, Rais kama Sarkozy, the head ofstate.
Soby swali lako umeliweka kama challenge ya rais yeyote wa nchi ambayo ina demokrasia ya kweli na mimi nimekujibu kwa maana sisi tunaona rais wetu ana mamlaka makubwa sana wakati tunaye waziri mkuu..Mfumo wetu wa uongozi ni mbaya wewe huoni ubaya wake. Usipindishe tuchukue unachofikiria wewe bali wewe ndio fikiria tunachokipinga sisi na kutoa hoja..Kwani rais wa Ireland au Italy sio head of State?
 
Hivi kweli nikikuambia kuwa Rais asiteue wajumbe wa Bunge la Katiba ina maana utashindwa kabisa kabisa kufikiria namna nyingine yoyote ya kuwapata wajumbe hao? Really?

Labda nikuulize: Ni yupi kati ya hawa ambaye yuko 'sovereign'?

a. Rais
b. Nchi
c. Wananchi
d. Bunge
e. Katiba
?

Wananchi wanamteua rais kusimamia katiba

Bunge linasimamia shughuli za serikali kwa niaba ya wananchi
 
Kwani mkuu wangu sasa hivi tupo hatua gani? hili nadhani ndilo mnalolipotosha...Soma hiyo ya Marekani kisha nambie sisi tumefikia hatua gani na sidhani kama watakao i draft constitution yetu ni hiyo tume ya rais. Anyway jibu kwanza hilo kisha tuendelee..
Nimesoma high school Marekani, hiyo nimeisoma na maandishi original nimeyaona.
Hiyo article unayozunumzia, lilikuwa ni bunge la kwanza la katiba, ambalo lilimchagua Washington kuwa rais, kabla ya hapo, nchi ilkuwa haina rais wala makamu,wakakaa kukubaliana kuunda katiba ambyo itaanzisha urais.
Sisi tunaye rais ambaye amechaguliwa kikatba, ila tunataka katiba mpya.
Usijidanany wa katiba Mpya itaondoa kila kitu kilicho kwenye katiba ya sasa, baadhi vitabaki, baadhi vitaondoka, hiyo inategemea maoni ya wananchi kuhusu nini wanachotaka.
Two different situations.
 
Katiba iliyopo inamruhusu rais kutunga sheria. Na huwezi kupata katiba mpya bila kutunga sheria ya kuandika katiba mpya.... kwa hiyo ni rais na bunge ndio wanaohusika na kutunga sheria ya kutafuta katiba mpya, na si mtu mwingine yeyote yule. Ila kuna njia mbadala, nayo ni kufanya mapinduzi au kusubiri 2015 na kuing'oa serikali na bunge lililopo.
Au kumuomba mkuu Sarkozy na Obama wawape tafu ya mabomu ili tupate serikali mpya, katiba mpya na uchaguzi mpya.
Zaidi ya hapo, ni kutumia bunge,wahisani au wananchi mitaani wamshinikize rais au bunge liandike sheria tofauti.

huo msitari sidhani kama huko sahihi mkuu, unampa sana nguvu raisi
 
Soby swali lako umeliweka kama challenge ya rais yeyote wa nchi ambayo ina demokrasia ya kweli na mimi nimekujibu kwa maana sisi tunaona rais wetu ana mamlaka makubwa sana wakati tunaye waziri mkuu..Mfumo wetu wa uongozi ni mbaya wewe huoni ubaya wake. Usipindishe tuchukue unachofikiria wewe bali wewe ndio fikiria tunachokipinga sisi na kutoa hoja..Kwani rais wa Ireland au Italy sio head of State?
Unabishavitu usivyoelewa.
Presidential system, ni kwamba legislature na executive zina nguvu sawa, hii humpa rais nguvu nyngi kuhusu maamuzi, hata Turkey walikuw anagobana kuhusu hili a coupe of months ago.
Parliamentary System, waziri mkuu ndiye kiongozi na hawezi kuama kitu bla kuwa na kura za bunge, kwa mfno warekani hawapendi hii kwa kuwa ipo very slow kwenye maamuzi, na unaweza kuwa na waziri mkuu kumi kwa mwaka mmoja,kutegemea na kura za wabunge, kwa mfano tumeona Japan na Italy, hata waisrael huwa wanabadilishanabadlishana sana.
Kila mfumo una advantages na disadvantages zake. Kama hutki Presidential System...poa tu, ila na kanuni za kuendeleza mchakato, na hiyo kanuni imepitishwa na bunge jana, kikatiba au si kikatiba, thats what we are discussing here.
 
...Wanahistoria na wajuao kutunga na kusimamia sheria duniani, wanafahamu kuwa, sheria yeyote isiyo na chanzo toka kwa wananchi si sheria. Itabaki kwenye karatasi.

...Wanaoitakia mema nchi hii lazima wajiulize. Wanatunga au na kusimamia sheria -ambazo hazisimamiwi kiuhalisia- kwa ajili ya nani?

...Lazima tujifunze na kukubali kuheshimu mawazo ya wengine -tena wenye ufahamu mzuri zaidi-, kwani sisi sote nchi hii ni yetu, hamna mwenye hati miliki; kwamba ni yake.
 
Nimesoma high school Marekani, hiyo nimeisoma na maandishi original nimeyaona.
Hiyo article unayozunumzia, lilikuwa ni bunge la kwanza la katiba, ambalo lilimchagua Washington kuwa rais, kabla ya hapo, nchi ilkuwa haina rais wala makamu,wakakaa kukubaliana kuunda katiba ambyo itaanzisha urais.
Sisi tunaye rais ambaye amechaguliwa kikatba, ila tunataka katiba mpya.
Usijidanany wa katiba Mpya itaondoa kila kitu kilicho kwenye katiba ya sasa, baadhi vitabaki, baadhi vitaondoka, hiyo inategemea maoni ya wananchi kuhusu nini wanachotaka.
Two different situations.

Hii nchi watu wanapenda kutishana, High school wote marekani wanasoma katiba yao, hata kama niko kwenye mambo ya michezo na sanaa au ufundi, unaongea sentense za kujumlisha sana mkuu, you dont put a last juice in a glass i dont why, kuna tunaosoma huu mjadala kwa pembeni umeweka ushabiki kuliko fact kwenye hoja zako japo una quotation za kutumbukizia kuweka mkazo
 
samahani wakuu kompyuta yangu iko sticky, so there will be a lot of spelling errors
 
Nimesoma high school Marekani, hiyo nimeisoma na maandishi original nimeyaona.
Hiyo article unayozunumzia, lilikuwa ni bunge la kwanza la katiba, ambalo lilimchagua Washington kuwa rais, kabla ya hapo, nchi ilkuwa haina rais wala makamu,wakakaa kukubaliana kuunda katiba ambyo itaanzisha urais.
Sisi tunaye rais ambaye amechaguliwa kikatba, ila tunataka katiba mpya.
Usijidanany wa katiba Mpya itaondoa kila kitu kilicho kwenye katiba ya sasa, baadhi vitabaki, baadhi vitaondoka, hiyo inategemea maoni ya wananchi kuhusu nini wanachotaka.
Two different situations.
Sababu ya kuunda katika sio hoja bali utaratibu wa kuunda katiba Mpya ndio tunauzungumzia. Washington alikuwa tayari rais kisha kukaonekana mapungufu ya katiba iliyopo wakataka kuunda mpya ambayo inakidhi mahitaji ya nchi nzima... Kwa nini iwe tofauti kwa sababu tunaye rais wa miaka sita na wale wa siku kadhaa..

Mkuu wangu labda nikueleze kwa kifupi - Kama JK angekuwa ana play mainly ceremonial role in the running of the State sidhani kama kungekuwa na ubaya wowote wa kuunda tume lakini JK anafungamana na itikadi, chama na mengine mengi ambayo anaweza kabisa kuifanya katiba iwe yake kutokana na tume hii. Ila Pinda kama waziri mkuu wa CCM asingetakiwa kuwa kiongozi wa kuundwa kwa tume. Mfumo wetu hauko hivyo na ndio maana tutapinga rais ambaye ni sawa na waziri mkuu nchi nyingine zenye marais kuchukua jukumu na mamlaka hayo..

Sasa Tazama hao Marekani pamoja na kuwa walikuwa states saba tu delegates walikuwa 77 na umeona jinsi swala zima lilivyokuwa gumu kufikia muafaka. Katiba mpya sii swala dogo hata kidogo ambalo mnafikiri JK ndiye mwenye mamlaka nayo jamani gumu lipi kulielewa hapa.

Halafu Tuachobishana hapa kinatokana na katiba hii ndio maana haikidhi mahitaji yetu na tunataka katiba mpya. Mnachotaka kukifanya ni kulazimisha jambo ambalo halipo kikatiba wala kwa kufikiria tu.Tunashukuru sana JK kukubali wazo la kuundwa katiba mpya na tunampa sifa kubwa sana lakini baada ya hapo swala hili linabakia mikononi mwa wananchi ambao watachagua delegates iwe kutoka mikoani, taasisi, wasomi wataalaam na kadhalika.. Hili ni jukumu la wananchi, si tuna majimbo, wilaya na mikoa iweje iwe shida kubwa kwenu kufikiria kwa mapana hayo..
 
Back
Top Bottom