Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,011
- Thread starter
- #141
Hivi wewe unajua maana ya taasisi ya urais???
nisaidie - ni sawa na mfalme au Sultani?
Hivi wewe unajua maana ya taasisi ya urais???
Nakupa challenge, labda umchague the most democratically elected president, ambaye wewe unaona ni mfano bora, halafu tufananishe mamlaka aliyonayo kikatiba na mamlaka alyonayo kikwete kikatiba.nisaidie - ni sawa na mfalme au Sultani?
Mkuu mbona unachekesha kwa sababu nchi nyingi rais ana celemonial role na PM ndiye kiongozi wa serikali.. haya tuchukulie Ireland...Nakupa challenge, labda umchague the most democratically elected president, ambaye wewe unaona ni mfano bora, halafu tufananishe mamlaka aliyonayo kikatiba na mamlaka alyonayo kikwete kikatiba.
Rais yeyote duniani.
Ajaribu basi kuandika hiyo sheria auone mziki wake!
nisaidie - ni sawa na mfalme au Sultani?
Dah!Labda nikusaidie tu ya kwamba wazo linaweza kutoka kwa mtu mmoja na katiba ikaandikwa na mtu mmoja lakini mchakato wa kuunda katiba lazima uhusishe wananchi wote kulingana na mazingira mliyopo.. Labda soma mchakato wa katiba ya Marekani (ingawa sipendi sana kuiga) na kisha nambie nafasi ya rais wao. Bofya
Nikzungumzia rais, unaelewa namaanisha nini.Mkuu mbona unachekesha kwa sababu nchi nyingi rais ana celemonial role na PM ndiye kiongozi wa serikali.. haya tuchukulie Ireland...
Dah!
Nadhani mkuu hii mada unaipotosha.
Theres a referrendum of course. But who is going to draft the constitutiuon? and how are we going to involve the mass in the process?
Ukizungumzia katiba ya Marekani ilivyopatikana, utamfanya JK unayemchukia aonekane mtakatifu na mwanademokrasia.... So lets not go there.
Kwani mkuu wangu sasa hivi tupo hatua gani? hili nadhani ndilo mnalolipotosha...Aliyeleta mfano wa katiba ya Marekani sio wewe?...Soma hiyo ya Marekani kisha nambie sisi tumefikia hatua gani na sidhani kama watakao i draft constitution yetu ni hiyo tume ya rais. Anyway jibu kwanza hilo kisha tuendelee..Dah!
Nadhani mkuu hii mada unaipotosha.
Theres a referrendum of course. But who is going to draft the constitutiuon? and how are we going to involve the mass in the process?
Ukizungumzia katiba ya Marekani ilivyopatikana, utamfanya JK unayemchukia aonekane mtakatifu na mwanademokrasia.... So lets not go there.
Hiyo katiba mpya itaundwajwe bila ya Rais?? yaani utaratibu uweje labda tusaidiana hapa maana mimi nashindwa kuwaelewa wengi wenu???
Soby swali lako umeliweka kama challenge ya rais yeyote wa nchi ambayo ina demokrasia ya kweli na mimi nimekujibu kwa maana sisi tunaona rais wetu ana mamlaka makubwa sana wakati tunaye waziri mkuu..Mfumo wetu wa uongozi ni mbaya wewe huoni ubaya wake. Usipindishe tuchukue unachofikiria wewe bali wewe ndio fikiria tunachokipinga sisi na kutoa hoja..Kwani rais wa Ireland au Italy sio head of State?Nikzungumzia rais, unaelewa namaanisha nini.
Sizungumzii parlamentary system, Rais kama Sarkozy, the head ofstate.
Hivi kweli nikikuambia kuwa Rais asiteue wajumbe wa Bunge la Katiba ina maana utashindwa kabisa kabisa kufikiria namna nyingine yoyote ya kuwapata wajumbe hao? Really?
Labda nikuulize: Ni yupi kati ya hawa ambaye yuko 'sovereign'?
a. Rais
b. Nchi
c. Wananchi
d. Bunge
e. Katiba
?
Nimesoma high school Marekani, hiyo nimeisoma na maandishi original nimeyaona.Kwani mkuu wangu sasa hivi tupo hatua gani? hili nadhani ndilo mnalolipotosha...Soma hiyo ya Marekani kisha nambie sisi tumefikia hatua gani na sidhani kama watakao i draft constitution yetu ni hiyo tume ya rais. Anyway jibu kwanza hilo kisha tuendelee..
Katiba iliyopo inamruhusu rais kutunga sheria. Na huwezi kupata katiba mpya bila kutunga sheria ya kuandika katiba mpya.... kwa hiyo ni rais na bunge ndio wanaohusika na kutunga sheria ya kutafuta katiba mpya, na si mtu mwingine yeyote yule. Ila kuna njia mbadala, nayo ni kufanya mapinduzi au kusubiri 2015 na kuing'oa serikali na bunge lililopo.
Au kumuomba mkuu Sarkozy na Obama wawape tafu ya mabomu ili tupate serikali mpya, katiba mpya na uchaguzi mpya.
Zaidi ya hapo, ni kutumia bunge,wahisani au wananchi mitaani wamshinikize rais au bunge liandike sheria tofauti.
Unabishavitu usivyoelewa.Soby swali lako umeliweka kama challenge ya rais yeyote wa nchi ambayo ina demokrasia ya kweli na mimi nimekujibu kwa maana sisi tunaona rais wetu ana mamlaka makubwa sana wakati tunaye waziri mkuu..Mfumo wetu wa uongozi ni mbaya wewe huoni ubaya wake. Usipindishe tuchukue unachofikiria wewe bali wewe ndio fikiria tunachokipinga sisi na kutoa hoja..Kwani rais wa Ireland au Italy sio head of State?
Nimesoma high school Marekani, hiyo nimeisoma na maandishi original nimeyaona.
Hiyo article unayozunumzia, lilikuwa ni bunge la kwanza la katiba, ambalo lilimchagua Washington kuwa rais, kabla ya hapo, nchi ilkuwa haina rais wala makamu,wakakaa kukubaliana kuunda katiba ambyo itaanzisha urais.
Sisi tunaye rais ambaye amechaguliwa kikatba, ila tunataka katiba mpya.
Usijidanany wa katiba Mpya itaondoa kila kitu kilicho kwenye katiba ya sasa, baadhi vitabaki, baadhi vitaondoka, hiyo inategemea maoni ya wananchi kuhusu nini wanachotaka.
Two different situations.
Wananchi wanamteua rais kusimamia katiba
Bunge linasimamia shughuli za serikali kwa niaba ya wananchi
Sababu ya kuunda katika sio hoja bali utaratibu wa kuunda katiba Mpya ndio tunauzungumzia. Washington alikuwa tayari rais kisha kukaonekana mapungufu ya katiba iliyopo wakataka kuunda mpya ambayo inakidhi mahitaji ya nchi nzima... Kwa nini iwe tofauti kwa sababu tunaye rais wa miaka sita na wale wa siku kadhaa..Nimesoma high school Marekani, hiyo nimeisoma na maandishi original nimeyaona.
Hiyo article unayozunumzia, lilikuwa ni bunge la kwanza la katiba, ambalo lilimchagua Washington kuwa rais, kabla ya hapo, nchi ilkuwa haina rais wala makamu,wakakaa kukubaliana kuunda katiba ambyo itaanzisha urais.
Sisi tunaye rais ambaye amechaguliwa kikatba, ila tunataka katiba mpya.
Usijidanany wa katiba Mpya itaondoa kila kitu kilicho kwenye katiba ya sasa, baadhi vitabaki, baadhi vitaondoka, hiyo inategemea maoni ya wananchi kuhusu nini wanachotaka.
Two different situations.