Kwa kuwa umeanza na neno siku hizi, mie naweza kusema kwanza huu mchezo ulikuwepo hata siku za nyuma sema kipindi kile wamilki wa magari mjini hasa vijana walikuwa ni wachache, pili unajua mtu akiwa na gari na mpenzi wake wapo huru zaidi kuliko kutokana na kwamba wapo ndani ya gari hivyo kwa maadili yetu ya kibantu kiaina wanaweza waka-kiss for a long time huku wengine wasione hasa wakiwa kwenye eneo ambalo halina watu tofauti na mtu akiwa na mpenzi wake ambae wapo katika matembezi kama hawa wenye gari tofauti yao tu wanatembea kwa miguu inakuwa ngumu kidogo ku-kiss kwa muda mrefu though hata hawa wa miguu wakipata upenyo wa ka-giza kidogo wanapiga kiss mpaka basi. Sasa katika situation kama hii wenye magari wanaenda zaidi pale inapoonekana kwamba wapo eneo lisilo na watu. MIE NAONA TUANGALIE NA MAZINGIRA WAPI KITU KIMETENDEKA KAMA KA-PARK NJE YA UKUMBI AU KWENYE ENEO LA PUBLIC HUYO ANATAKIWA TU-DEAL NAE, LAKINI KAMA WATU WAMEJICHIMBIA CHIMBO LA MBALI TENA KAMA NI UFUKWENI WAMEPAKI MITA HATA 500 KUTOKA KWA WATU SIONI KAMA NI SHIDA KWANI KINACHOFANYIKA HATA HAO WALIOKUJA KUWAKAMATA NI ILE KUTAKA KUFANYA UCHUNGUZI / KUPIGA CHABO)