Kwa nini ngono ndani ya gari

Kwa nini ngono ndani ya gari

Nafikiri pia ukiacha kuzidiwa pengine ina raha yake hasa katika positions. Sio kukimbilia guest tu na kukazana na kifo cha mende wakati wadudu wananyevuanyevua!!!
 
Nilikuwa nasikia tu rumours kuwa watu wanagegedana kwenye gari? Kuna dhamb zingine hata shetani hajawah kupractice.

sasa dhambi ni ipi hapa? kufanya kwenye gari! si upo na mme au mke! jamani eeh tusikariri bhana.
 
No no nilikua nasubiri nipate experience ya juu ya Kimbweta kwanza na Little Angel pale UDSM jirani na Library pana kimbweta kinakuaga kizuri sana usiku au chini ya miti pale Hall Six...... acheni bhana tusikariri sehemu moja tu............ndio maana mnaibiwa.

Mimi wakati sina Uzao tulikua tunaanzia kwenye gari, sitting room, jikoni,.bafuni n kidoogo chumbani.......acha wewe. Utatamani usitembelewe.

hahaaaa....umesahau na uwanjani pale COET... lol

itabidi kids waende boarding tujisasambue vizuri zaidi...lol
 
Last edited by a moderator:
Tena be warned maana Guest nyingi siku hizi zimefungwa CCTV kwa siri vyumbani.....ukiingia na mzigo wako kuna watu na wenyewe wanalipa kiingilio room nyingine wanafurahia game tu. Ukitoka jamaaa wameshakupatia jina kama unafunga sana waweza kuta unaitwa Messi, Kaka na mengine..........na wengine wanauza picha zenu sasa ya nini yote hayo????? Kwenye gari is more safe

Paloma Fidel80 Mamndenyi saudari Little Angel na Baba V na wengineo.....pasi kumsahau Mpwa wangu mpenzi Aine

hahaaaa...
 
Last edited by a moderator:
Mh! watu weeee! nimegundua watu hawana ubunifu. Mtu mzima unaanzaje kuvua chupi au boxer, kama mtoto ana puu! kwa kuwaangalia tu utajua hamna kitu.
 
Mh! watu weeee! nimegundua watu hawana ubunifu. Mtu mzima unaanzaje kuvua chupi au boxer, kama mtoto ana puu! kwa kuwaangalia tu utajua hamna kitu.

Inaonyesha we bingwa vya chap chap
 
Kumbe kufanya mapenzi kwenye gari ni zambi zaidi?

According to your opinion!
Mimi nawaona mke na mume wanaofanya hivyo are very adventurous and very creative, tofauti na boring couple ambao wanafanya ndani ya 4 walls tu na missionary style; MY OPINION OF COURSE.
 
Back
Top Bottom