TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Siku hizi imekuwa kawaida kuona au kushuhudia watu wazima bila staha au aibu wakibanjuana au kufanya ngono kwenye magari au Bajaj, hii inachangiwa haswa na nini? Je ni safe kuliko kwenda Guest au Hotelini? Je kuna radha tamu ngono ikifanyiwa ndani ya gari? Je ni kuokoa gharama za kwenda kulipia Guest House au Hotel? au nikuiga tu?