Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
mke na mume wanaojiheshimu na kuthamini ndoa yao hawawezi kufanya upuuzi kama huo, ukiona wanafanya hivyo ujue hao wamelewa na historically hawana ustaarabu na maisha yao ni ya ajabu ajabu ambayp hata mtaani hawana heshima ya wanandoa
anyway huo ni mtazamo wako...as for me and my mr charming we can do it as long as tumeona ni convinient na hatubughuzi watu..
hii ya kukariri ni chumbani na kitandani tu hapana taka sisi... love life inahitaji kuwa spiced ili kutochokana..
sometymes unaweza kwenda hata ofisini ukampa surprise(kama hasei ofisi)..lol....