Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?

Siku
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
Siku ya maandamano yule Mwamba jasiri baada ya JPM atakuwa na ziara pia pale mjini!!

Watanzania walio wengi ni masikini wanaohitaji kusikilizwa na kijana wetu. Maandamano tutawaachia wafanyabiashara wa KICHAGA
 
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
Wewe na famila yako au pengine wewe
 
Back
Top Bottom