Kwa nini JMK hastahili na hafai kuongezewa kipindi kingine !!

Unajua emeanzisha mfumo wa AJABU kweli,
Anafanyiwa tathmini ya kuadhimisha kila anapotimiza mwaka wa kukaa madarakani, najiuliza hao wanaompengeza kwa makala za mtangazaji na kumtolea tathmini mbalimbali wana wasiwasi kwamba hatotimiza ngwe? Sijapata kuona ujinga wa aina hii. kumsifia mtu ambaye hajatimiza hata robo ya ahadi zake ambapo muda ushaisha.
Akaze buti na kufanya maajabu ili tumfikirie maana kuongoza si haki yake pekee. wapo wazalendo wengi hatujawapa nafasi ila wanaweza kufanya mengi kwa umakini kwa kipindi kifupi.
 
Back
Top Bottom