Kwa nini JK haendi nchi za Asia na Arabuni?

Status
Not open for further replies.
Anaogopa zile suti alizohongwa labda ataulizwa kuna mambo hajatekeleza!
 
Aisa huwa hawana options za kuongeza budget kama zilivyo za ulaya.Pia Asia hawapo tayarai toa hela wakati uchumi wao ukiwa mbaya.Ulaya ahta uchumi ukiyumba bado wanajipa majukumu ya kuendelea toa misaada kama walivyopanga.
 
Yaani hamjui anajiandalia makao baada ya kumaliza muda wake? Waarabu wanauwana kila cku hakufai kuishi huko
 
Mi sijamsikia kaenda irak au kwa libya,au huko hamna vitoroli vya farasi?

Libya alishaendage kipindi cha Qadaf na akatoa ahadi ya kujenga uwanja wa ndege J.K International Airport na nyumba za wahanga wa mafuriko kule Kilosa ila kabla ya ahadi kutimia ikaanza vita ya kumtoa madarakani/kumuua..so tumestuck labda hii ya Muscat tunaweza kupata msaada mwingine..!!
 
Daahhh..!!nenda mkulu wa nchi labda tunaweza kupata msaada wa used tende na kahawa..maana cc ni watu wa kuombaomba tu..!!
 
Anaenda kukabidhi ripoti kwa wafadhili juu ya mafanikio yaliyopatikana ambayo ni kuchomwa makanisa Zenji, Tunduru,na mbagala, mafanikio ya mihadhara ya kidini na mafanikio ya media kama radio imaan, Al nuur na kisiwa, anataka wakamuongezee bajeti ya kuanzisha ile TV
 
hivi anaendaga kuomba misaada kweli au kuvinjari? kule kuna varieties na hakuna sharia, tani yako, na hiyo karama anayo. we mbaba mzima unaweza kuzunguka kuomba hivo kweli? sidhani, anakuwaga na mishemishe zake tu
 
Yaani hamjui anajiandalia makao baada ya kumaliza muda wake? Waarabu wanauwana kila cku hakufai kuishi huko

Kama Idd Amini katunzwa hadi kifo na kuna ex-Presida wa Tunisia anakula upepo huko Arabuni baada ya kutimuliwa nchini kwake, sioni kwanini JK asiwekeze ki- uhusiano huko Uarabuni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom