Kumbe inatokea kwa wengi...hata mimi imeshanitokea na hata jana nimeulizwa swali hilo na mamii kwenye mahakama ya kitanda ila nilijibu ndio ila nilikwepa kukubali kuwa nilijuta kwa kumtamani mwingine. kwahiyo nikamwambia nilijutia kwa kujilaumu mwenyewe....politics u know?
hahhahaaaaa leo hii tukipiga kura utaona kila mtu ambaye ana ndoa (both sex) watajibu kuwa walikosea au wangetamani wawe na akina fulani na sio type ya mke/mume alienane!! Mambo ya vituko haya usisikie
Sasa mpwa hii huwa ni kwa nini??
Kuchokana au??
p
'kwa nini sikukuona tangu mwanzo'???
Wanabodi natumaini hamjambo.
Jana nilikutana na mtu mmoja hivi na katika mazungumzo yetu mwenzangu akawa kavutiwa na mazungumzo yangu...Tulizungumza sana na actually the talk was nice. Ila mwishoni wakati tunaagana kama mtu aliyekata tamaa akasema 'kwa nini sikukuona tangu mwanzo'???
sasa baadaye niko home ndo najiuliza ....hivi kuna wakati tunaregret kuwa na wale tulionao na kuwish tungekuwa na huyu au yule??...Hivi haijawahi kukutokea ukakutana na huyu na ukajilaumu kwa nini uliwahi kufanya maamuzi??...Na ikitokea ukawaza hivyo inakuwa ni tamaa tu au ndo ile a human is an insatiable creature???
Naomba kuwasilisha
leo nimekutana na binti kweny daladala,,,seem nice and kind kupitia maongezi yake,(na mrembo ofcoz),tatizo kumwomba namba,majitu yote yanakodoa macho....daah,sasa najuta ni bora ningeenda mpaka anaposhuka....
Na wewe unatamani tungeonana zamani...
Kiukweli kuna wakati unatamani mshale wa saa hurudi nyuma....
nilikuwa mahali wiki iliyopita nilikuwa na vijana 5 tulikuwa tunazungumzia mahusiano wote walitamani mshale wa saa ungerudi nyuma nikawauliza sababu nini mmoja akanijibu "hakujua upendo unakuwa kila mara na unavyozidi kukua ndivyo unavyosema laiti ingekuwa....... SnowBall tungeonana zamani lol hapo kaukweli kapo
Daaaah...
Hapa labda lara 1, Heaven on Earth, charminglady, King'asti, Madame B, Blaki Womani na wadau wengine waje kutoa yao ya moyoni