Kwa nini EBSS haikushirikisha magwiji wa muziki Tanzania?

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
867
536
Wanajamvi nimesikitishwa kuona mashindano ya EPIC BONGO STAR SEARCH kutoshirikisha magwiji wa muziki Tanzania kama vile King Kikii, Kassim Mapili, Shaaban Dede, Shakila na wengineo wengi waliofanya makubwa hapa nchini kwenye medani ya muziki. Kwa nini hawakushirikishwa?
 
muziki umebadilika sasa hivi hao washafulia. kizazi kipya ndio unaolipa na pale mtu anaandaliwa kibiashara .
 
Back
Top Bottom