Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Nimefatilia sana kuhusu time inayotokea earthquake kubwa, nimeona mara zote ni usiku, kwa mfano la Chile lilotokea saa 9 na nusu usiku kwa saa za Chile, Haiti ilikuwa usiku, China usiku, Italy pia ilikuwa usiku....Anayejua sababu atupe darasa kidogo kwa faida yangu na wasomaji wote..