Kwa nini Earthquake hutokea usiku?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Nimefatilia sana kuhusu time inayotokea earthquake kubwa, nimeona mara zote ni usiku, kwa mfano la Chile lilotokea saa 9 na nusu usiku kwa saa za Chile, Haiti ilikuwa usiku, China usiku, Italy pia ilikuwa usiku....Anayejua sababu atupe darasa kidogo kwa faida yangu na wasomaji wote..
 
No it's not necessary, they can occur in any time of the day the cause of which is a sudden slip on a fault. Stresses in the earth's outer layer push the sides of the fault together. Stress builds up and the rocks slips suddenly, releasing energy in waves that travel through the earth's crust and cause the shaking that we feel during an earthquake. Remember the earthquake of Gujarat which took place in the morning of 26th Jan 2001,the tremors of which were felt in Delhi as well as in other places too,so there is no phenomenon of night and morning associated with earthquakes
 
Nimefatilia sana kuhusu time inayotokea earthquake kubwa, nimeona mara zote ni usiku, kwa mfano la Chile lilotokea saa 9 na nusu usiku kwa saa za Chile, Haiti ilikuwa usiku, China usiku, Italy pia ilikuwa usiku....Anayejua sababu atupe darasa kidogo kwa faida yangu na wasomaji wote..
eh hapa umeongea mada inaeleweka,lakini mda si mrefu utachafua hali ya hewa,najua nia yako ya kuuliza hivi,tuendelee
 
Your sample space is not enough to justify your conclusion.

Ni kama umetembea mtaani na kukutana na wazungu wanne wanaume halafu ukauliza "Kwa nini wazungu wote ni wanaume?"
 
Kweli sample size yake haitoshi kama anakumbuka yale yaliyokuwa yametokea arush mwaka juzi yalikuwa mchana kabisa watu..... cha maana atafute tu sababisho lake ndio atajua .............
 
Mida ya usiku ndio mabwabwa wanakuwa kazini, na Mungu hapendi dhambi hiyo ndiyo maana huwa anaawaangushia dhahma.
ACHENI USHAGA, MTATUPONZA WENZENU.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom