nemulo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,589
- 441
sasa kama wadada wakiolewa watapge ma dili ya kuhongwa hasa wakishazaa ndo mana hawataki kuolewa
...Kuuumbeee...
sasa kama wadada wakiolewa watapge ma dili ya kuhongwa hasa wakishazaa ndo mana hawataki kuolewa
Unaoa cerebrity,mnakuja pata mtoto.Akifikisha miaka 10 na kuendelea anapata story kwa wenzake,magazetin,mtandaon juu ya mamake tutembea na A,B,C,D,E,F,G,H,I,J,K, L,M(marehemu),N...........,Z.Yan nin yote wakati kuna totozi safi.
kibongo bongo wapo.kaishia darasa la 7 kasoma sana basi ni form 4 failure, chuo kaenda kusomea certificate ya englishi kozi.kanunua/kahongwa gari ya kutembelea na anaishi nyumba ya kupanga.Mambo yake binafsi anayafanya ya kitaifa,akikosolewa anasema watu wanafuatilia maisha yake.
Nafikiri hata wao hawana mpango wa kuolewa nasema hivyo kwa sababu life style yao inaonesha dhahiri siyo watu wenye utayari wa kuwa na majukumu ya kuitunza familia,hii inadhihirika pale wanavyoonekana kupenda uhuru kupitiliza mfano kubadilisha wanaume kama nguo n.k ukizingatia kwamba familia inahitaji uangalizi wa hali ya juu ambao huhitaji muda wa kutosha pia!
Ni kweli na hata mfn ukimuoa mmojawapo usishangae akahitaji housegirls hata wanne na kijana wa kazi za nje kwsbb hawataki kujishuhulisha na majukumu ya familia eti wanaona wanazeeshwa,hahaha...
Waolewe au wasiolewe wewe inakuhusu nini. Acha ushakunaku kuoa au kutokuolewa ni hiari ya mtu yeyote! Mbona wanawake kibao hawajaolewa na sio celebrity.Wakuu, Katika chunguza chunguza yangu nimegundua kua Bongo celebrities wengi hawaolewi.Na kama wakiolewa basi ndoa zao huvunjika mapema kabisa. Jaribu kucheki wada warembo wote,waigiza filamu,wanasiasa machachari, wanamziki . Wengi wao hawaolewi.Hi ni furaha kwao? Je,hii ni kua wanapenda wao wenyewe au na wao wanajuta kua "Bongo celebrity ??''
Waolewe au wasiolewe wewe inakuhusu nini. Acha ushakunaku kuoa au kutokuolewa ni hiari ya mtu yeyote! Mbona wanawake kibao hawajaolewa na sio celebrity.
Great thinkers ni watu wanaojadili ufumbuzi wa masuala mbalimbali ktk jamii zetu, wakati mwingine majibu yanayotolewa hapa yanaaminika na kuchambuliwa,kisha kuyafanyia kazi ktk masuala mbalimbali ya kijamii.Waolewe au wasiolewe wewe inakuhusu nini. Acha ushakunaku kuoa au kutokuolewa ni hiari ya mtu yeyote! Mbona wanawake kibao hawajaolewa na sio celebrity.
Ni wakati sasa wa kutafuta ufumbuzi,jamii ikubali kubadirika na kuishi maisha ya kiuhalisia.Yanayochukuliwa kama ndio maisha ya ndoa kibongo na maisha wanayotaka kuishi hao unaowaita celebs ni tofauti kabisa!!!!!!!!!!!
I was just about to date one ila baada ya kufahamiana vizuri na kupajua kwao, maisha yake halisi na jinsi anavyojipozisheni kijamii kwa kweli ilikuwa ngumu "uhalisia" wa maisha ni kidogo mnoooo yaaaani full kujifekisha!!!!!!
Sihukumu wala sitoi suluhisho ila ilikuwa ni ngumu mno kukubali life style ile!!!!!
!
!
sababu ni kwamba wana "vina" virefu mno na "vipenyo" vikubwa....matokeo yake wanaume wanajikuta "dumbwii" na hapa ndio mambo ya team #vibamia inapata tabu. Jitu hata likikojoa kwenye unga halichimbi la nini?......iko wazi mno sababu ya wao kutoolewa na ni hiyo hapo[/QU
big like
Mkuu,unazungumza kwa msisitizo inaonesha una experience nao na una uhakika kabisa!!
!
sababu ni kwamba wana "vina" virefu mno na "vipenyo" vikubwa....matokeo yake wanaume wanajikuta "dumbwii" na hapa ndio mambo ya team #vibamia inapata tabu. Jitu hata likikojoa kwenye unga halichimbi la nini?......iko wazi mno sababu ya wao kutoolewa na ni hiyo hapo[/QU
big like