CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,923
wote tunajua jinsi watanzania tulivyo inapofika wakati wa uchaguzi...
Tanzania imeshuka katika viwango vya FIFA kipindi cha malinzi,
kesi ya pointi tatu tu imechukua miezi kuisha kipindi cha malinzi,.
Ratiba ya ligi imekuwa mtihani mwingine unaomshinda Malinzi, Na ubovu mwingine ambao kila mtu anaujua unaofifisha soka letu..
pamoja Na udhaifu huu Na kuonyesha wazi kuwa Malinzi amefeli bado sitashangaa kuona akichaguliwa tena
1.Malinzi tayari ameshatengeneza mtandao wa kumlinda..
2.Malinzi tayari ana pesa Na elewa kuna watu wakipewa hata 10,000 wanaweza kufanya maamuzi ya ajabu..
3.hakuna fair kwenye chaguzi hizi za tff kama zilivyo kamati zao.
ndo ivyo.