Hamu ya mwanaume mpaka dushelele kusimama inaanzia kwenye ubongo. Hamu hii huwa ni kubwa mno pale inapotokea mwanaume kuwa mbali au kutoona maumbile nyeti ya mwanamke kwa muda mrefu (Mfano mtu anapokuwa kifungoni jela kw miaka kadhaa, au mwanafunzi wa bwenini hasa wale wa single sex)
Inapotokea mwanaume kila wakati anaona uchi wa mwanamke ile hali ya kuhamasisha tendo hilo mpaka Dushelele lisimame inakuwa kwa kiwango kidogo sana. Wanawake/wadada wasiku hizi hawawapi nafasi wanaume kushangaa au kuwa na hamu ya kuwa na mwanamke faragha maana kila wakati mwanamke amekuwa ni mtu wa kujiweka uchi hadharani, iwe ni kwenye Luninga, Mitandaoni, mitaani, sehemu za starehe, kwenye mabasi ya abiria nk...