Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

Viagra na mapresha ni bomb la nuklia

Nakwambia tusubiri tu...miaka 15 au 20 ijayo vifo vya ghfal viatakua vingi sana nchini. Pia ndoa siku hivi kupata watoto imekua ni taabu. Nguvu hawana...ugomvi kila siku. Wake za watu wanaingia gest mchana kweupe na pete zao mikononi..hawaogopi tena maana hawana jinsi..
 
tena hata hizo wanazo sema za kienyeji nazo ni hatari maana wanachukua miti nakuisaga, nakuchanganywa na viagra ilo sagwa.
we unadhani natumia kitu cha asili hakina madhara kumbe ndo unajiua.
hakuna dawa ya kienyeji yeyote duniani ambayo inaanza kutoa matokeo kwa muda mfupi.
et unaambiwa kabisa usiitumie mpaka uhakikishe mwanamke yupo!

Hili sikuwai kulihisi kabisa...kwa kweli vijana tusipobadilika tutaangamia.
 
Kupakomoa sehemu tulipopitia! hatuna ujanja, kifupi wazee wetu walitumia vyakula halisi na sio artificial foods tunazohangaika nazo zamani unakuta mzee ana watoto 30zote original copy siku hizi ukipiga copy mbili nyingine mbili wife kazi burn ,na maisha yenyewe yamekuwa so hectic unarudi home hoi unaishia kuweka mkono juu ya mbunye sijui unaibariki au unailinda.

hahahaha...nimecheka sana.
 
tena hata hizo wanazo sema za kienyeji nazo ni hatari maana wanachukua miti nakuisaga, nakuchanganywa na viagra ilo sagwa.
we unadhani natumia kitu cha asili hakina madhara kumbe ndo unajiua.
hakuna dawa ya kienyeji yeyote duniani ambayo inaanza kutoa matokeo kwa muda mfupi.
et unaambiwa kabisa usiitumie mpaka uhakikishe mwanamke yupo!

Chezea mihadarati wewe!
 
Hapa walifaudu babu zetu, na baba zetu wakamalizia. Siku hizi mapaja,viuno,vitovu na sehemu kubwa ya matiti kuviona sio kitu cha ajabu.
Ni kweli mkuu, maungo nyeti ya mwanamke zama hizi hayashtui moyo wa mwanaume tena...imebaki mazoea na kupiga miluzi kuwasanifu kama vijana wa mtaa wa Kongo wanavyofanya....
 
Inasikitisha sana siku hizi wanaotumia Viagra ni vijana wadogo sana ,wengine hata ni wanafunzi wa vyuo. Na hii si Dar tu, mpaka hata mikoani..nilikua Dodoma nikawa na jamaa yangu mmoja pale anaduka la dawa ananiambia Viagra ndio inamlipa kuliko dawa zote.

Wateja ni wanafunzi wa vyuo na waheshimiwa. Sijui kwa kweli nini kinalikumba Taifa.

Hivi kweli kwa mawazo yako unaweza ikomoa papuchi wewe.

Acheni ujinga jamani.

ahahahahaha wanashindana na wanakotoka... ila hawa wanawake wa sikuhizi ukiwapiga cha dakika tano wanakutangaza mtaa mzima. Acha vijana wajilie viagra tu maana mazoezi hawana na chipsi mayai ndio zinawamaliza kabisa
 
Umeona eeh wanapenda sana kiepe
 
Wengi ni wa umri mdogo.Watakapofiki
sha miaka 40 kwa athari ya viagra kitu kitakuwa nywiii!
 
hii hali ni kweli inawakumba vijana wengi,lakini badala ya kuwalaumu ni vizuri kuwapa njia mbadala ili kuepukana na adha hiyo. Mwenye akili atafanyia kazi na kujirekebisha lakini mpumbavu kwake ataona ni ujinga
 
ata papuchi zishalegea sana siku hizi, hamna mnato hasa dar.... Watoto wanaanza match utotoni na wanacheza na wazee wao, ukikutan nae huyo ni sawa na unamchafua tu
kuna kitu kinaitwa ''pc'' wanawake wa kimakonde(hufanyisha zoezi) always inabana kama vile imeshikwa na mkono
 
Kupakomoa sehemu tulipopitia! hatuna ujanja, kifupi wazee wetu walitumia vyakula halisi na sio artificial foods tunazohangaika nazo zamani unakuta mzee ana watoto 30zote original copy siku hizi ukipiga copy mbili nyingine mbili wife kazi burn ,na maisha yenyewe yamekuwa so hectic unarudi home hoi unaishia kuweka mkono juu ya mbunye sijui unaibariki au unailinda.

Hahahaaaa mkuu umenichekesha hapo kny kuibariki/kuilinda
 
Back
Top Bottom