Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

tatizo ni msongo wa mawazo msiwalaumu sana na hwataki kukubali matokeo sasa at the age of 40s ndo watajua na watachapiwa kinoma wake zao
 
ahahahahaha wanashindana na wanakotoka... ila hawa wanawake wa sikuhizi ukiwapiga cha dakika tano wanakutangaza mtaa mzima. Acha vijana wajilie viagra tu maana mazoezi hawana na chipsi mayai ndio zinawamaliza kabisa
Vipi na cha saa 1 nacho wanakitangaza?
 
Tatizo wanapiga mizinga sana ndio maana tunapania sana siku ya siku usugue mpaka zitoke cheche

Mi nilipata dem mzuri balaa. Mizinga ikawa level ya PhD nakata tuuu. Siku ananipa dah nilijutia time and money wasted. Ananuka papuchi balaa plus manywele pale daaah thanx to konyagi iliokoa jahazi.
 
Hivi kumbe viagara zinauzwa tu maduka ya dawa! It has never occurred to my mind
 
1: Kuiga
2: Kutaka kuwakomoa madem zao, kitu ambacho si sahihi
3: Ushindani. Akisikia mwenzake amefanya hivi huko vijiweni nae anataka afanye hivyohivyo
4: Ushamba uliokubuhu
5: Ngono imeteka sana akili za watu, badala ya kufikiria jinsi ya kujikwamua kimaisha wao wenyewe, familia zao, ndugu zao na jamii, asilimia kubwa hufikiria ngono tu muda wote. Kazini ngono, msibani ngono, mtaani ngono, harusini ngono, kwenye nyumba za ibada ngono, kwenye daladala ngono
6: Kutokujiamini.
7: n.k

Mkuu hapo kwenye kijani nimecheka sana, kwani utakuwa umewagusa wengi!
 
Hahahahah! Jamanii!

Kupakomoa sehemu tulipopitia! hatuna ujanja, kifupi wazee wetu walitumia vyakula halisi na sio artificial foods tunazohangaika nazo zamani unakuta mzee ana watoto 30zote original copy siku hizi ukipiga copy mbili nyingine mbili wife kazi burn ,na maisha yenyewe yamekuwa so hectic unarudi home hoi unaishia kuweka mkono juu ya mbunye sijui unaibariki au unailinda.
 
Nashukuru Mungu sijawahi tumia hayo makitu,na muchkwekwe napiga kwa kwenda mbele
 
Yaani papuchi inavyozidi tumika ndy inakuwa bora wakati wote...unaweza fananisha na injini za ndege inavyoruka masaa mengi ndiyo inazidi kuwa bora kuliko ss ni kama tenki la mafuta tunakuwa bora tunapo kuwa full Viagra but safari inavyozidi kuchukuwa muda mrefu ubora Kwisha hata kidumu hakifai maana tenki limezoea full tenk 90ltrs.Kama mmenielewa itakuwa powa..Tuachane na Viagra bora ule vizuri ....
 
Ata papuchi zishalegea sana siku hizi, hamna mnato hasa Dar.... watoto wanaanza match utotoni na wanacheza na wazee wao, ukikutan nae huyo ni sawa na unamchafua tu

Naaam!

Nadhani ndo maana vijana wanaamua #KUJIHAMI ! Inakuwa ni 50/50
 
Tatizo kubwa la vijana wa kisasa hawajiamini....wanadhani kusugua sana papuchi ndio kumridhisha mwanamke au ndio kudhihirisha uanaume au pengine ndio kumkomoa mwanamke....
La hasha mapenzi asili yake si kukomoana wala kusuguana sana kama unapiga msasa kwenye mbao....mapenzi asili yake ni raha na burudani....unaweza ukamridhisha mpenzi kwa hata goli moja na akaridhika kuliko kupiga hata bao kumi huku ukimuachia mwenzio majuto kwa papuchi kuwaka moto...
Vile vile mapenzi ni sanaa na ufundi unaoteka hisia....
 
Kujiamini ni silaha kubwa sana kwa mwanaume....
Na kutumia madawa ya kuongeza nguvu ni moja ya matokeo ya kutojiamini....
 
Wacha watu watiane bhana, ndo kitendo pekee ambacho hakibagui masikini wala tajiri hapa duniani.
 
Back
Top Bottom