kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

Ebu weka vitega uchumi vyako,gari,nyumba na muhimu picha yako na cheti cha Angaza...sio nyumba yakukodi ukaanza kutangaza na cheti cha kumaliza shule tujue umepata div C au A....

Nataka mke wa kuishi nae katika hali na mali, sitaki wa kufuata pesa pekee, km wa pesa ambiance wamejazana
 
mmh sawa mkuu lakini me naona hili tangazo kama halijakamilika. Ennhe malizia "Vigezo na Masharti kuzingatiwa" halafu useme hili tangazo ni kwa hisani ya nani? Kama ya wamarekani Wachina au wabongo wenyewe hahahahha Duh hii njia binafsi imenivutia haya baba kila la kheiri.

Kwa hiyo kutakuwa na usahili au? hebu fafanua vizuri .... mana sijakupata sawasawa Mkuu
 
Nataka mke wa kuishi nae katika hali na mali, sitaki wa kufuata pesa pekee, km wa pesa ambiance wamejazana
Weka jamani siumetangaza unavyotakaa? Au haki unayo weye tuu unaemtaka Hana haki yakujiridhishaa nafsi yake kwa anayotaka umuonyeshe?
 
mzazi na mimi nataka motto mrembo anitext hahahahhaha yaani unatafuta makorongo huku ambiance umewamaliza?
 
nahisi mtoto wa kiume akifika umri huo anakuwa ameshajielewa katika suala zima la mahusiano

Usiishi kwa kuhisi dear
Hebu ukija ibadani leo nikumbushe nikupe darasa kuhusiana na hiyo kitu!
 
" . . .ajitokeze nimchukue"
yaani u are sounding as if we are one of ur properties! Najiuliza kama hao uliowatafuta mwenyewe kwa sound zako na macho yako walikushinda je strangers utawaweza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom