kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

Mhh mi nipo Dar na vgezo sion km ni tatzo,..bt i wonder hv inakuwaje una mawe mjin hapa unakosa mtoto jmn ehh...unantia mashakan,kwn good girls c unawajua approach em physically
 
km unajiamini ni mzuri wa sura na tabia nicheck tu tutaangalia namna ila wa dar wana added advantage

heheh,km matangazo ya kazii lolz,CPA is an added advantage...hpfully utapata th right candidate
 
kutokana nahali yasasa ya wanawake wapenda pesa ndugu yangu ukitaka kupata mke bora popote Tanzania usiweke vigezo kama ivyo ata kama unavyo mfano,degree,bachela,sjui nalipwa mil.2 kwa mwazi ni ukuda uo kuwa mjanja mkuu jifanye maskini wakati uo ili badae mfurah pa1 mkuu.

ushaur mzuri,jpange n make it an adventure,be sm1 ur not,onekana wa uwezo flan mdogo kuliko ulivyo,af tafta chombo,utakaepata una uhakika ana mapenz ya kwel,lakn pia pray abt it,
 
Ebu weka vitega uchumi vyako,gari,nyumba na muhimu picha yako na cheti cha Angaza...sio nyumba yakukodi ukaanza kutangaza na cheti cha kumaliza shule tujue umepata div C au A....
 
Ebu weka vitega uchumi vyako,gari,nyumba na muhimu picha yako na cheti cha Angaza...sio nyumba yakukodi ukaanza kutangaza na cheti cha kumaliza shule tujue umepata div C au A....

Awe na gari pia tena sio kistarlet na nyumba nzuri sio kijumba cha chumba kimoja na mshahara mnono
 
kutokana nahali yasasa ya wanawake wapenda pesa ndugu yangu ukitaka kupata mke bora popote Tanzania usiweke vigezo kama ivyo ata kama unavyo mfano,degree,bachela,sjui nalipwa mil.2 kwa mwazi ni ukuda uo kuwa mjanja mkuu jifanye maskini wakati uo ili badae mfurah pa1 mkuu.

Pesa ndo mpango siku hizi mkuu
 
kama pesa ndo mpango! Je akiishiwa au akifulia mazima utamtafuta mwingine ama vp@baby wa kitaa
 
Umweee mbombo ngafu naloli amasiku agha abakikulu bhatikubhoneka. Angwisa gwangu
 
Back
Top Bottom